Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

huyo wa kuwapa million 50 nani? duh watanzania ifikie mahali tutumie ubongo kuchambua mambo. Ukisubiri kumezewa kila kitu utashindwa kufanya maendeleo kusubiri wanasiasa wakati unajua maisha yako ni we mwenyewe.
 
Muvi wataiita "Njia Panda" uyo Ray mwenyewe tu hajitambui ivi kweli unategemea mtu kama Ray na anaofanana nao kabisa wanaweza kua ushawishi wa kumbadilisha mtu timamu msimamo mfn niwe ccm alafu wanipeleke CDM au kinyume chake na kama ccm wanawategemea hawa watu kwa ushawishi basi hawajajijenga kabisa nategemea ACT labda ndio wahangaike na hao sisimizi.
 
Njaa zitawaua,walijua Lowassa anagawa hela wamekuta patupu,kuckia cc em hela inamwagwa km njugu wamekimbilia huko....teh,..njaa mbaya sn
 
kwi kwi kwi....si ndio hawa mlikuwa mnawasifia juzi kati?....leo mnawaita majina yote kisa wameachana na ukiwa
 
Nategemea watu wengi watahama maana mzee kaanza kuishiwa hela sijui itakuwaje.
 
Hata mimi nisingeacha kwani si ni sehemu ya pesa zao wenyewe zilizoibwa na ccm na mbaya zaidi zinaweza kuwa fedha za bwerere za mwisho kupewa na ccm. Chukueni tu jamani tena wekeni madau makubwa.
 
Njaa zitawaua,walijua Lowassa anagawa hela wamekuta patupu,kuckia cc em hela inamwagwa km njugu wamekimbilia huko....teh,..njaa mbaya sn

Waacheni watafute pesa but kura kwa Edo.Siyo kosa lao ni njaa tu.
 
Back
Top Bottom