Recent content by ZionTZ

  1. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

    wasiwasi wangu sio wa watu wa mabondeni....ni watu wa milimani....jiwe likidondoka tu ni kiama.
  2. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    hakuna mwarabu mwema, hata hawa waliopo hapa ni roho mbaya sana....waarabu ni watu wenye roho mbaya iwe mwanamke au mwanaume......ni makatili vibaya mbaya na hawapendani hata wao kwa wao. very easy to manipulate.... hakuna mwarabu mwema. wakafie mbele.
  3. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

    kwamba unaona sawa kuibiwa na mwizi mmoja tokea uhuru hahahah sasa si bora tumbadilishe mwizi tuone na yeye atatusogeza vipi kuliko kukomaa na mwizi mmoja ambae anachukua vitu na hatusogei??? nyie ndo mnaoona ni bora ccm waendelee kutawala kuliko kujaribu chama kingine. shwain kabisa
  4. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Alifanyaje? Weka maelezo fresh utasaidia watu kuliko kusema tu watu wasideal nae...
  5. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

    Kichapo cha mbwa koko kwa kwenda mbele....unapigwa unachakaaa...ndio dawa pekee.
  6. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

    NA WAO WAPIGE MSWAKI MIDOMO INANUKA BALAA....WAKIKUHEMEA TUMBO LINAVURUGWA HAPO HAPO....
  7. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

    daaah mbona anawaua watoto wadogo hivo??
  8. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Wanawake ndiyo wanaongoza kwa pesa mjini

    lazma iwe hivo, kwani pesa zao wanazitumia wapi ???
  9. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

    kwa hiyo mtu kua na duka la nguo ndio celebrity?? daah.....watu wa dar mnasikitisha sana, nendeni mikoani muone watu walivonapesa na wala hawana hizo kelele....yani kuuuza nguo ka frame kamoja hapo kinondoni kunafanya mtu awe celebrity???
  10. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hakika alindwe sana tayari wabaya wake wako hadharani

    Mungu ni wetu sote...
  11. ZionTZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akina Dada mna shida gani na vinywa vyenu?

    Wakuu salama...? Naomba kutoa dukuduku langu, kwa kipindi cha miezi 6 nimekaa hapa mjini nimegundua tatizo moja kubwa sana la afya ya kinywa hususani kwa dada zetu. Yaani unakuta mrembo yupo vizuri, anafanya kazi nzuri, ana position nzuri, anavaa smart lakini akifungua kinywa unatamani ardhi...
  12. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini waarabu wanapingwa na kusakamwa kwa hapa JF?

    Waarabu wanafki wakubwa....kila siku wanawaponda wazungu cha ajabu waarabu wenzao wanapopata majanga hawawasaidii badala yake wazungu haohao ndio wanawasaidia... Hamjawahi jiuliza kwanini wakimbizi wa nchi za kiarabu wanakimbilia ulaya wakati kila leo wanawaponda na kuwaita makafiri...
  13. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

    Umesahau unafki...hakuna watu wanafki duniani kama hao....wanajifanya wana imani sana lakini wape upenyo wakae gizani uraomba dunia ipasuke[emoji85] Wanajifanyaga very strong lkn hakuna watu wepesi kutawaliwa/kuvurugwa kama hao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

    Yani mtu akuwekee sumu af uwe na hekima nae?? Peleka kule...na kwa taarifa yako mengi alimpa share ipp...we huoni anavong'aa hapo....??
  15. ZionTZ

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kumfuata Zitto Kabwe ACT wazalendo?

    Kichwa kile kama mbuni...
Back
Top Bottom