Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
Wastara na sajuki
 
kwa hiyo mtu kua na duka la nguo ndio celebrity?? daah.....watu wa dar mnasikitisha sana, nendeni mikoani muone watu walivonapesa na wala hawana hizo kelele....yani kuuuza nguo ka frame kamoja hapo kinondoni kunafanya mtu awe celebrity???
 
Na wababa wenye makelele na visa visivokauka, huwa wanafanana sana na watoto zao. In case the man has gone, he leaves you with the kids who look exactly like him.
.
Better not than a stupid word "I wish"

How is a man's character related to a child's looks?
 
Dogo janja njoo upokee zigo hili halina mwenyewe. Ukiuliza wanakupa stori ya Bi. Khadija na Cheki-Bobu
 
Baba yangu kafaga siku nyingi sana .
Hakuwa lelemama alikuwa anatimiza wajibu wake tokea ndani hadi nje.
Sio anahongwa namama yangu mama yangu ndio alikuwa anahongwa na mzee hiyo ndoa inamiaka 55 kabla hajafa kwa maana baba ametendea familia haki .
Mkishatolewa matenga mnachukia wanaume wote
 
Back
Top Bottom