mapato ya muungano nayo yatagawia sawa kwa sawa na misaada pasu kwa pasu kwa taarifa yako mapato ya muungano yanatosha kuendesha muungano .usitie wasi wasi hamtakopa kwa bwana zenu wa zungu
What a leader! What a speech! Rais Mstaafu wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM (Zanzibar), Mhe. Amani Karume, amewapa darasa zuri la uongozi na demokrasia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama chake na wananchi kwa ujumla hasa kuhusiana na mwelekeo wa siasa Zanzibar. Alisema...

Nimeulizwa sana kuhusu matokeo ya Uzini. Bahati mbaya kama ilivyo kawaida ya Watanzania walio wengi huwa hatufanyi utafiti, uchambuzi wala upembuzi na badala yake tunakuwa wepesi wa ku-draw conclusion. Kumekuja analysis kuwa Chadema sasa inaipiku CUF kwa kushika nafasi ya pili na wengine...
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group
mkuu ule mpango wako wa kulima halizeti kule bagamoyo ulifikiwa wapi ? Kama una business plan ya kilimo cha mananasi nakuomba utulilie kwenye kilomo group.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.