Naombeni msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sashay, Mar 23, 2011.

 1. S

  Sashay Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wapendwa ni wapi naweza kupata viwanja vilivyopimwa hapa Dar es Salaam. Asanteni
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Viwanja vilivyopimwa viko vingi,tatizo vilinunuliwa na wajanja ili waje wauze kwa bei ya juu kwa wengine kama wewe, maeneo yaliyopimwa na viwanja viko ni kama haya, Buyuni njia ya kisarawe, Tuangoma Kigamboni na Mwanagati. Kuvipata ni lazima ulambwe cha juu na wajanja. Na kama una ujanja wa kufika ardhi pale na ukawa na bahati unaweza pata ambavyo havijauzwa.
   
 3. S

  Sashay Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nashukuru sana Malali, nitafika hapo Ardhi nijaribu bahati yangu.
   
 4. L

  Lady JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni pm namba yako ya simu na unahitaji vingapi?
   
 5. Z

  Zahor Salim Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hivo viwanja ya mbuyuni vinauzwa bei gani
   
 6. Maisha Bora

  Maisha Bora Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyabuyuni kwa watu vinategemea na eneo : kama ni karibu na barabara au mbali kidogo na barabara: Pia size, na pia unauziwa na nani :
   
Loading...