Maskini Saed Kubenea, Aliupanda kwa pupa Mchongoma sasa Kuushuka Nndio Ngoma.
Yuko wapi Slaa? Zitto, Dj Mbowe, Tundu Lissu, na wengi waliokuwa wanakupa Mabomu Uripuwe sasa Limekuripukia Mwenyeo tena Usoni umeshasinyaa kwa ukaidi wako, haya basi nikuburudishe kwa kipande kimoja cha nyimbo za...