Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

Mheshimiwa mwacheni kumtia midomoni kila saaa na dakika jamani? Chuki hizo zote ni za nini kwakeeeeee, nimewauliza wazenji juu ya habari hii wanasema JK hana hata Kioski Zanzibar sasa haya ya hoteli jamani mmeyapata wapiii au ndio kuendeleza Chuki kwa Muungwana wetu huyu kwa ni wa pwaniiii? hamumsemi MKAPA mwenye Kiwira, Lowassa mwenye Richmond, Sumaye mwenye ekari zaidi ya 1000, Mzindakaya mwenye mashamba na Viwanda au kwa kuwa hawa ni Wabaraaa ni halali kwao Kutuibiaaa.

MTU AKITAKA SEMA HUTAZAMA YALOYAKE

AKAZUNGUKA KWA NYUMA KUTAZA YALOKWAKE

HAINUKI KUSIMAMA KUTANGAZA YA WENZAKE

NAMUMKOMEEEEEE WAJAAAA NAMUMKOMEEEEEE
 
Yakhe yatosha tu kusema hamiliki kitu kama hicho. Sasa weye wataka hao wote ulio wataja hapo juu wawekwe kwenye thread moja? Kama watakuona ya Lowasa na Mkapa ziko thread nyingi tu zilizowazungumzia.
 
kuliko kuiba na kuweka Ulaya sii mbaya kujenga Hoteli Tz wananchi wakapata kazi!

hata majumba ya ajabu2 ya Mkapa kule Lushoto na Mwinyi Zenj..wangelijenga mahoteli kuimarisha sector ya utalii wangeonekana watu wa maana!!

Wizi ni kitu mbaya..au kama ni mkopo ni poa..ila basi bora uwekeze ktk productive activities tena Tz!

.......kwa jk ..bora kuwekeza home,,,...kwa wengine kamata kamata ....double standards......we should not be obsessed by the richness ..muhimu ni utajiri unaopatikana kihalali...

jk ana share kempski ..magorofa yanajengwa mjini yapo....still amejenga kwa mpigo majumba yake ya bagamoyo,migombani na chalinze..[lugoba]
 
kuliko kuiba na kuweka Ulaya sii mbaya kujenga Hoteli Tz wananchi wakapata kazi!

hata majumba ya ajabu2 ya Mkapa kule Lushoto na Mwinyi Zenj..wangelijenga mahoteli kuimarisha sector ya utalii wangeonekana watu wa maana!!

Wizi ni kitu mbaya..au kama ni mkopo ni poa..ila basi bora uwekeze ktk productive activities tena Tz!

wacha double standard mwizi ni mwizi tu
mwinyi ana white sands, na mambo mengine kibao tu
mkapa ana mashamba lushoto ya matunda, na ana kiwira

kwa hiyo mkapa na mwinyi si wamewekeza nyumbani au unajiadai hujui
 
Hivi nyie mlitaka awatangazie watanzania mali zake wapi? aite mkutano wa waandishi wa habari au katika zile hotuba zake za kila mwezi ( sijui bado zipo!). Ukingoja eti kuna kiongozi atakae tangaza mali zake hadharani utasubiri sana, nenda pale tume ya maadili uwaombe ( sijui kama watakupa), ukiwa na sababu nzuri utapewa tu na utajua nani ana miliki nini.
 
Ndio maana JK mwenyewe awezi kukemea wenzake because he is also part and parcel of Ufisadi. Kwani ni hiyo tuu laa hasha. Mbona anajenga hotel kubwa tuu huko Serengeti yeye na Lowasa ? Atawezaje kukemea Rostam na wengineo kama mwenyewe ni fisadi??? He is also in the process of graping his before his turn ends. Yani inabidii waTanzania sasa wawe ujasili na kusimama kidete kwa hao viongozi.

Mbona Mkapa na ufisadi wake yote JK amekaa kimia? Yeye anatali tuu ajali hata wananchi wake kabisa. Sijui sera zake anasemaje kwetu sisi kwa sababu atuoneni maisha bora kabisa. Atoeleze baana.

Kujenga hoteli ni ufisadi? Ulitaka aweke vimada. Kuwa rais usiwekeze? Vipi mboa mlateta sera za akina warioba ?
 
jacob_zuma_nkandla_home_swimming_pool_11_29_13.jpg

ikulu ya msoga
 
Kuna mahali nimeona wanasema eti Salma alipata 1.5b mmmghh kazi tunayo
 
Back
Top Bottom