Lwakatare ajipanga

Mzee Rweka kapima maji kaona CUF imepoteza sana mwelekeo huku tz bara,nguvu ya operesheni Sangara imemuingia,haya Mnyika tueleze plz lini hasa mtatutangazia kuhusu kujiunga na Chadema mzee wetu huyu?

Mzee Rweka kapima maji kaona CUF imepoteza sana mwelekeo huku tz bara,nguvu ya operesheni Sangara imemuingia,haya Mnyika tueleze plz lini hasa mtatutangazia kuhusu kujiunga na Chadema mzee wetu huyu?

Bado kidogo, ila process inafanyika atajitokeza kule Biharamulo, pale ndipo atatangazwa kuwa mwananchama.

Mbona hampo makini???? kwani mumeambiwa amehama chama...? Lwakatare ameamua kuingia jimboni kupitia operesheni ZINDUKA, ambayo ni operesheni mpya ya cuf.. ili kuhakikisha anarudisha jimbo lake.. kwani ccm wanatumia nguvu kupita kiasi kuhakikisha cuf hawapati jimbo hata moja kama walivofanya uchaguzi uliopita,na wakiona mambo magumu,ccm wapo tayari kuhakikisha linachukuliwa na chadema lkn cuf wasilipate.. Cuf washaliona hilo thus y kina lwakatare na wenzake wanaamua kuingia majimboni kulala huko huko,na shughuli za chama kuwapa wengine,wao wana kazi ya kuhakikisha wanachukua majimbo... ngojea tuone... CCM watalala chali safari hii..

Jamani, pamoja na kuwa siri ya Lwakatare kutofautiana na CUF haijafichuka, kuna jambo zito mno ambalo CUF wanapaswa kuchukua hatua za HARAKA NA DHARURA kulizima na kulimaliza na kwa ushauri tu, kama chama makini cha siasa wawe makini sana na fedha wanazopokea kusaidia chama chao. Fedha hizo zimewagharimu mwaka 1995, mwaka 2000, mwaka 2005 na sasa kitawagharimu 2010 na kuendelea.

Wajue fedha si chochote japo kwa sasa inaonekana pesa ndio mtaji mkubwa kwa wanasiasa wengi, lakini hilo ni BOMU la KITAIFA likilipuka hatuna mfumo wa kuzima madhara yake, kwani TUMELALA FOFO kuanzia watu hadi DOLA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, UTULINDE NA MAFISADI NA VIBARAKA WAO

Last edited:
Pole sana Lwakatare kwa kuifikiria kuwa siasa sawa na mchezo wa bao lakienyeji, siasa ni mipango na uzalendo wa wazi dhidi ya Nchi yako, Mambo yamekushinda tena yamekushinda kati kati ya mlima juu hufiki kileleeni hupaingii sasa subiri kuporomoka tena mporomoko usiokuwa na kizuizi na ukifika chini huna kiuno wala Mgongo.

Mwana siasa gani wewe usiekubali mabadiliko ya Kikatiba ya Chama Chakooo? kwa kuwa Mwenyekiti hakukupa nafasi tena ya kuwa Naibu Katibu Mkuu ndio imekuwa Nongwaaa? haya basi twakusubiri tumuone MBOWE akimuondowa Mzee Kimesire katika nafasi yake na akupe wewe sio ndio ulivyowaeleza wapambe wako kuwa chadema Utakuwa Mkubwa na kupewa Gari na marupu rupu yaliokutowa roho kwa kuyakosa kutoka CUF.

Umesahau jambo moja kubwa sana kuwa BUKOBA ni CUF na sio Lwakatare utajutia maisha kwani BUNGE Utalisikia tuuuuuuuuuuu

Halisi..
Hilo unaloongea hakuna ukweli ndani yake hata kidogo.. Yaani nakujua uzuri sana mkuu wangu lkn hiyo pbm yako na bwana mkubwa malizeni wenyewe kuliko kuiingiza Cuf,unapozungumza mtu kama wewe ambae tunakuamini uhakikishe unaongea kwa ushahidi kitu ambacho huna ushahidi kwa hili... Pesa za Cuf wanachama wenyewe wanajua vyanzo vyao.. na nakushangaa muheshimiwa siku hizi inakuwaje lkn usiwe na chuki binafsi angalia maslahi ya taifa.. Lkn bado nakupa 5..

From mwananchi.co.tz
Lwakatare:Baraza limenisukuma kujiuzulu

SIKU moja baada ya Baraza Kuu la Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuwatimua maofisa watatu wa uchaguzi, aliyekuwa Naibu katibu mkuu wa chama hicho,Wilfred Lwakatare, amesema mamuzi hayo ndiyo yaliyomfanya kuwasilisha barua ya kuachia ngazi nyadhifa zake zote ndani ya chama.

Juzi Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, alitangaza, kuwatimua Maole Kuchilingulo, aliyekuwa Katibu wa Tume ya Uchaguzi ya CUF, Hussein Mmasi na Juma Wandwi wajumbe, baada ya kubainika kuwa walikihujumu chama chao katika uchaguzi mdogo wa Busanda.

Lwakatare ambaye alishawahi kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini, alimewasilisha barua ya kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na jana alithibitisha habari hizo.

Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam, alisema amefikia uamuzi huo baada ya kutoridhishwa na uamuzi wa Baraza Kuu la chama hicho.

'Ni kweli nimewasilisha barua hiyo, kwa sababu sikuridhishwa na uamuzi wa vikao vya Baraza kuu wa kuwatimua maAfisa watatu wa uchaguzi wa chama chetu," alisema Lwakatare.

"Nimeona maamuzi ya baraza hilo si ya mustakbali mzuri ndani ya chama chetu," alisema.

Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa kuwa, kigogo huyo wa CUF ana mpango wa kukihama chama hicho na kuhamia Chadema.

Lwakatare, alikiri kusikia uvumi huo.

"Hata mimi nasikia hivyo hivyo lakini hakuna mtu rasmi aliyeniambia taarifa hizo. Mimi sina uwezo wa kuzungumzia hilo kwa sababu uamuzi wa hilo wanao wananchi na si mimi," alisema Lwakatare.

Katika Siasa,tunamtakia kila la kheri,kama atabaki CUF au kama atenda Chama kingine.

miketyson_

tiny_check.gif
Following
tiny_minus.gif
Device updates OFF
You follow _miketyson_
_miketyson_'s updates appear in your timeline.

1. @Prissy13 That little southern belle had no place in my world i wanted to knock his nose back into his brain before i bought my hammerpants6:55 PM Jun 7th from web in reply to Prissy13

Happy Sette Giugno to all my Malteese bretheren4:47 PM Jun 7th from web

i used to fill my gloves with cement mix and let it harden with the blood of my opponents12:18 PM May 17th from web

On the set of the hangover, i punched Zach Galifianakis' beard off10:39 AM Apr 19th from web

Garry Kasparov may have beat me in chess, but i punched his wife so hard his kids came out retarded10:30 AM Apr 19th from web

all you haters be prepared im gonna crawl up your nostrils and live in your nightmares10:48 PM Apr 5th from web

watching escape to witch mountain8:57 AM Mar 18th from web

@salesengine it feels suprisingly liberating8:55 AM Mar 18th from web in reply to salesengine

@ironmandad good morrow to you ironman8:54 AM Mar 18th from web in reply to ironmandad

@CarlLindgren my lifes journey is an endless circle of viciousness with alot of cocaine cheap ***** and pudding thrown in the mix8:53 AM Mar 18th from web in reply to CarlLindgren

Punching bags are for suckers, i use the orphaned children of my past opponents2:23 PM Mar 7th from web

Feeding pigeons and doin lines of Drain-o8:15 PM Mar 4th from web

@soccerlaz I appreciate your salutations and return them graciously8:10 PM Mar 4th from web in reply to soccerlaz

I probably have a 20,000-word vocabulary. I'll match my wits with anyone on literature, science and the arts8:22 AM Mar 4th from web

@JackKS Indeed that chicken stands no chance against my ravenous punching abilities8:22 AM Mar 4th from web in reply to JackKS

@whodoyousayiam yes indeed humbleness is what led me to be the greatest fighther in history . Being humble led me to be a superhuman figure.8:20 AM Mar 4th from web in reply to whodoyousayiam

Hannibal was very courageous. He rode elephants through cartilage.8:17 AM Mar 4th from web

I just want to be humble at all times, I just want to conquer people and their souls.2:48 PM Mar 3rd from web

looking back i should have bit off evanders mouth so he could no longer sully my good name2:46 PM Mar 3rd from web

Gettin back into fightin shape by chasing chickens. if i catch that feathery abomination i swear ill make it regret the day it was hatched7:32 PM Mar 2nd from web

2. I feel like the only black man on this site. the whole institution is inherently racist. i want to crush its soul8:46 AM Mar 2nd from web

3. @CornelWest Dr West i respect you as a man, but as a fighter, your face would cave in under the debilitating force of my fist8:43 AM Mar 2nd from web in reply to NotCornelWest

4. this morning i contemplated eating raw eggs like rocky. cooking them was more practical and palate pleasing. that moron was an imbecile8:28 AM Mar 2nd from web

5. @kurtkelly of course i would not leave pv even if the courts let me1:01 AM Mar 2nd from web in reply to kurtkelly

6. @kurtkelly Yes, time flies. And where did it leave you? Old too soon...smart too late. You still raisin hell up at westwood one12:42 AM Mar 2nd from web in reply to kurtkelly

7. @ndmuscle I don't know if I'm mentally sick, but I have... episodes sometimes. I'm a depressant kind of dude.10:45 PM Mar 1st from web in reply to ndmuscle

8. i saw movie outbreak. came to the conclusion that all monkeys need to be eradicated from the face of this planet. suggested means: uppercut10:28 PM Mar 1st from web

9. @tonyrobbins i have a business proposition for you. you and me 3 rounds mgm grand. the victor and his enterouge star in shallow hal 29:13 PM Mar 1st from web in reply to tonyrobbins

10. @levarburton im comin for you La Forge i will hit you so hard you will regain your sight you book lovin bastard9:03 PM Mar 1st from web in reply to levarburton

11. @levarburton the hour? you wouldnt las thrity seconds in the ring with me. id break your Zygomatic Bones8:58 PM Mar 1st from web in reply to levarburton

12. when i was a kid we used to live in trash cans and eat lead based paint salads. people need to stop woryin about those punjabs from slumdog8:54 PM Mar 1st from web

13. @michaelianblack this farcical talk about syrup is beyond my comprehension. you need to find yourself. go to prison, that cleared my head5:58 PM Mar 1st from web in reply to michaelianblack

14. http://tinyurl.com/c6efxd5:36 PM Mar 1st from web

15. @god how dare you blaspheme my name5:26 PM Mar 1st from web in reply to god

16. @SpikeLee i have a script idea about a man who eats children with pure voraciousness and devours mens souls for the sheer sport of it5:20 PM Mar 1st from web in reply to SpikeLee

17. i inspired the movie spiderman 2 by actually fighting a doctor and an octopus at the same time in 19925:16 PM Mar 1st from web

18. @The_Grim_Reaper i challenge you to try to conquer me. if bill and ted could beat you in checkers i could surely knock your block off4:49 PM Mar 1st from web in reply to The_Grim_Reaper

19. I once spent 3 thousand dollars on a vip ticket to my own fight just so i could congratulate myself in person4:48 PM Mar 1st from web

20. @SteveAyscue your pitiful attempts to strategize insult me as a human being. I refuse to even threaten you i just vow to destroy your soul4:38 PM Mar 1st from web in reply to SteveAyscue

21. i long to subjugate the masses to the tyranny of my fists4:35 PM Mar 1st from web

22. @fakejohnmccain I came from the bowels of the earth to quell every possible opponent. i should have been your vp instead of that booky *****4:32 PM Mar 1st from web in reply to fakejohnmccain

23. @BarackObama you should nominate my fists to be the newly formed secretary of severely damaging the faces of those who dare to confront me4:27 PM Mar 1st from web in reply to BarackObama

24. @matisyahu Shalom i am a superior rapper than you. step to me and i will punch you so hard your beard will fall off praise allah4:23 PM Mar 1st from web in reply to matisyahu

25. @THE_REAL_SHAQ I long to unleash a beating on you that will rival the pain your wife feels upon the entry of your penis into her baby box4:16 PM Mar 1st from web in reply to THE_REAL_SHAQ

26. @Nick_Nolte I want to throw down your kid and stomp on his testicles, and then you will know what it is like to wake up everyday as me.4:12 PM Mar 1st from web in reply to Nick_Nolte

27. that octomom does not impress me. i once fathered 22 children from 17 different mothers in one day. where is my interview charlie gibson.4:10 PM Mar 1st from web

28. I offered the attendant $10,000 to open the cage and let smash that silverback's snotbox! He declined4:09 PM Mar 1st from web

29. @GaryJBusey I can paint your house red with the blood of those who are foolish enough to step in my path. I am a vicious painting machine.4:06 PM Mar 1st from web in reply to GaryJBusey

30. I used to train by beating up koreans. Something about how they screamed in their language inspired me to succeed at crushing their skulls.4:03 PM Mar 1st from web

31. Ive been called a rapist and a recluse. I resent that, I am not a recluse4:01 PM Mar 1st from web

32. Sometimes I put on a ski mask and dress in old clothes, go out on the streets and beg for quarters.4:00 PM Mar 1st from web

• Name mike tyson
• Location Bedford-Stuyvesant, Brooklyn
• Web http://www.tysont...
• Bio "One minute I'm robbing a dope house. Next minute I'm the youngest heavyweight champion of the world. I'm only 20, 19, with a lot of money. Who am I? What
58 Following 5,777 Followers

51Updates
• Favorites
Actions

Following

View All…

RSS feed of _miketyson_'s updates

Footer

© 2009 Twitter
About Us
Contact
Blog
Status
Apps
API
Search
Help
Jobs
Terms
• Privacy

Sunday, 28 June 2009 10:30
Na Reuben Kagaruki

ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Bara, Bw. Wilfred Lwakatare,amefichua mambo mbalimbali ambayo anadai alikumbana nayo ndani ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kupakaziwa kuwa sio mwaminifu katika masuala ya fedha.

Bw. Lwakatare ambaye amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefichua siri hiyo kupitia hotuba yake aliyoitoa ndani ya kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Juni 9,mwaka huu, katika agenda ya kutokanisha muhtasari wa kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Februari 28,mwaka huu.

Kupitia hotuba ambayo nakala yake ameitoa kwa gazeti hili, Bw. Lwakatare alisema baada ya mmoja wa viongozi wa chama hicho kuhoji sababu za jina lake kuenguliwa katika kinyang'anyiro cha unaibu katibu Mkuu, alijibiwa kuwa ana matatizo mengi.

Alisema kiongozi huyo aliambiwa kuwa Bw. Lwakatare ana matatizo na si mwaminifu katika masuala ya fedha, ni mbadhirifu na anatumia madaraka yake vibaya kwa kulazimisha hati za malipo anazotaka zifanyiwe malipo,ili zilipwe iwe isiwe. Bw. Lwakatare alisema kiongozi huyo alipozidi kuwabana viongozi wenzake na kuhoji ni kwa nini asionywe kuhusu tabia hiyo kuliko kuacha jina lake kabisa, alijibiwa kwamba kashindwa kujirekebisha kabisa.

"Kiongozi huyo alijibiwa kuwa mimi (Lwakatare) anaweza kuonywa na kujirekebisha, lakini kwa masuala ya fedha ni sugu hawezi kusikia la mtu," alisema Bw. Lwakatare katika hotuba yake hiyo akimnukuu kiongozi huyo.

Bw. Lwakatare alisema mkasa mwingine aliokumbana nao ndani ya CUF kuwa ni kunyang'wa gari alilokuwa akitumia akiwa Naibu Katibu Mkuu katika mazingira ya kutatanisha. Alisema katika hali ya kushangaza mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Makamu Mwenyekiti, Mzee Hamis Machano na kushuka chini alikuta gari, dereva na mlinzi aliyekuwa akimhudumia hawapo tena katika mamlaka yake. “Wote walikuwa wamepewa maelekezo mengine na wala sikuwaona tena,” alisema Bw. Lwakatare.

Alisema kilichomsaidia ni kuwa gari lake lilikuwa na wiki moja tangu litolewe gereji na alilokuwa ameliegesha katika ofisi za CUF na funguo zikiwa kwa walizi, hivyo aliondoka mwenyewe kwa kujiendesha.

Alisema baada ya kuondolewa katika wadhifa wake wa Naibu katibu Mkuu aliitwa ofisini kwa Mwenyekiti Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharrif Hamad na kuzungumza mambo ya msingi hasa ya kutibu majereha na makovu aliyokuwa amepata baada ya mabadiliko ya ghafla.

Source: Majira

Hana jipya lazima angesema ameonewa CUF, siku akitoka chadema kwenda CCM atasema ameonewa let wait and see!!

Sasa ndo tuseme ameanza kazi rasmi katika chama chake kipya au....

Mh Lwakatare ana kazi ya ziada katika hili sakata la kukosa uaminifu. Katika threads zilizopita zinazomhusu nilihoji sana kwanini Mh akiwa bado mwanachama halali wa CUF haombi chama chake kimfanyie uchunguzi wa kuthibitisha tuhuma za ubadhirifu wa fedha? Kwa sisi tunaoangalia kwa hisia ya 6 inatosha kabisa kuweka shaka endelevu juu ya tabia hiyo ambayo inaelezwa Mh hawezi kujirekebisha nayo. Kila mtu ana strengths na weaknesses zake na ukisoma kwa makini zaidi utagundua kuwa maelezo ya Mh Lwakatare yanatosha kutoa picha ya kuwa na tabia kupenda pesa, kujikweza nk. Hulka ya kupenda pesa au kujikweza si hulka mbaya but ikiwa on the extreme side ndiyo huleta taabu. Katika hili Mh Lwakatare yuko katika extreme side. Kwa vile alikataa kusafisha jina lake akiwa CUF kuhusiana na 'kashfa' hiyo ya ubadhirifu basi inatosha kuelewa sasa anatafuta njia za kisiasa kujisafisha ambayo tunaelewa kuwa kama angelitumia njia sahihi huenda moto ungemuwakia...tuendelee kuangalia movie!

Jamani ukiona kiongozi akishaondoka ndo anajifanya anaanika .......

Ujue kafulia huyo....

Huwezi KUANIKA kama HUJAFUA.

Lwakatare kishasema kaondoka CUF kwa kuwa mshahara ulikuwa kiduchu hivyo kafuata mshahara mnono Chadema. Huko nako ukipungua atasonga mbele zaidi kutafuta majani mabichi! Haya ni kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe.

Alichofanya hapo si kuianika CUF bali ni kujianika mwenyewe ulafi wake na kupenda madaraka. Ndio maana anazungumzia masuala kama kunyang'anywa gari, dereva na mlinzi. Kwa kifupi ni mwanasiasa muflis!

Pole sana Mh.Lwakatare lakini siku zote wahenga husema"mwosha huoshwa"Karibu Chadema tutakupa unaibu katibu mkuu Zitto tutamwondoa kwani ana viasili vya sisiem.

Mod hii iunganishe na na zile thread nyingine. Tumelijadili sana hili hili suala kule kwenye thread nyingine.

Pole sana Mh.Lwakatare lakini siku zote wahenga husema"mwosha huoshwa"Karibu Chadema tutakupa unaibu katibu mkuu Zitto tutamwondoa kwani ana viasili vya sisiem.
Kwa msingi huo sisim na upinzani hauna tofauti.labda wana JF tuanzishe chama chetu cha siasa .ni sisi tuu tunafumilia maoni tofauti ya kila mwanachama.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom