Recent content by yumbu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wananchi waziba njia kusimamisha Mabasi ya UDART leo asubuhi

    Hii imenikuta mm mara myingi apa kona. Sioni tija ya mastaff wanaokaa vituoni pamoja na askar.. Hakuna wanachofanya.. Abiria wanasubilia sana
  2. Y

    JamiiForums Tanzania TBS wafungia kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi

    Hapa atakuwa na maana ya oil za magari (lubricants) Siyo mnavyofikiria
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Kukuelewa Muheshimiwa Raisi Wangu

    Akiri pana
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

    Omba kwa imani utafanikiwa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

    Itv mubashara
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Sniper in Dallas: Polisi wetu mmejifunza?

    Americans busy on promoting gays and lesbians movements and remain nully on racism.. shame to you pole... I should not come us and call for humans right in which u can't live it..
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkoa gani upo kiongozi
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Bring back our UKAWA asilia

    Hahah nyumbu bana
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Bring back our UKAWA asilia

    #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania UKAWA kwenda kudai posho mahakamani

    #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka Nasoma kitabu cha darasa la nne 1997 SIZITAKI MBIVU HIZI.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Waingereza: Wazenji somo la kujifunza!

    Wajitengetu hata mademu yao mabaguzi muno.. Miaka 50 bila kupata demu wa kipemba..waende tu
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wadau nataka kupanda vitunguu maji na pilipili hoho maeneo ya kisarawe. Naomba wadau mnisaidie ushauri pamoja na soko . Asante.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri EU na Unabii wa Sanamu ya Nebukadneza

    Ukweli mtupu
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Tabia ya abiria kuzunguka na mabasi ya mwendokasi, uongozi utoe tamko

    Wako sahii kabisa kuzunguka nayo. Kinachowafanya wazunguke ni kwamba gari linapofka pale wakati wa kurudi halisimami linakuwa limejaa sana.. Pengine na wao wahitaj kukaa kwenye siti. Kama wanataka wasizunguke waruhusu magar baadhi yazunguke bila kupakia yakifka mwisho halafu yapakie abiria wa...
Back
Top Bottom