Nimeanza Kukuelewa Muheshimiwa Raisi Wangu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
13,962
35,089
Nahisi Muheshimiwa Raisi wetu ana nia njema kabisa na nchi yetu. Kuna mambo ambayo ata mimi nahisi nilikua sipati majibu yake kama ifuatavyo:
  • Inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna wanafuanzi wanaokaa chini ya sakafu (hawana madawati) wakati wazazi wetu walisomeshwa na wakoloni na wote walikua wanakaa kwenye madawati.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuna vyumba vya madarasa ya kusomeshea watoto wetu ili hali wazazi wetu walisomeshwa kwenye madarasa bora kabisa na wakoloni.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna viongozi katika kila ngazi ya uongozi ambao hawana ubunifu wanasubiri misaada ya wahisani kutoka nje ya nchi ili shule zilizopo kwenye himaya yao ya ungozi zijengewe vyoo.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tunaendelea kuwajengea wanafunzi wetu vyoo vya shimo (pit latrines) ili hali wazazi wetu wamesoma katika shule zilizojengwa na wakoloni zikiwa na vyoo vya kukaa.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuwezi kupanga miji yetu yaani niabu kuona sehemu kubwa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ikiwa na sehemu kubwa ya maeneo ya makazi ya watu yasiyopimwa na yasiyo na mpangilio (squatters).
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru maji safi na salama si yatokayo bombani bali ni yale ya kununua kwenye chupa ilihali nchi nyingine duniani maji safi na salama unayapata bombani.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru wagonjwa wanalala chini ili hali nchi ikiwa inakusanya mapato ambayo yanachezewa kwa safari za hovyo hovyo za kwenda nje na kununua magari ya kifahari wakati hatuna ata magari ya kubebea wagonjwa.
Muheshimiwa Raisi mimi nadhani yote unayoyafanya unayafanya kwa nia njema. Nakiri kuna mambo madogo madogo ambayo washauri wako wanatakiwa wakushauri na wewe pia ukubali ushauri wao kama vile:
  • Kutambua uwepo wa Katiba ya Nchi na Sheria mama na zile ndogo ndogo pamoja na kukubali kuzifuata. kwakua wewe ndiyo mfano kwa watanzania wote basi ukifuata sheria na raia wote watafuata sheria bila ya shuruti.
  • Kuoanisha nia zako njema na mipango yako madhubuti ya kiutendaji na mipango iliyopo ya kiuchumi ili utekelezaji wa nia na mipango yako visije vikawa vinakinzana na mipango iliyopo ya kiuchumi.
  • Mwisho kabisa nakuomba ukubali kukosolewa. Kukubali kukosolewa maana yake ni kuruhusu kufanyia kazi fikra mbadala. Unapokataa kukosolewa maana yake ni kwamba unazuia wapinzani wasikusaidie kuainisha kasoro za watendaji wako na za kwako pia. Ukikubali firka mbadala itakusaidia kuchukua hatua kwa haraka na kurekebisha kasoro zilizopo hivyo tutakua na matumaini ya Tanzania ya KISASA, yenye HESHIMA na yenye KUWANUFAISHA WATU WOTE.
Natoa mada.
 
Alitakiwa aulize chama chake, sasa ukija kuuliza tena watu ambao wana njaa hahahaha uwaulize kwanini hamjala? Kwanini watoto wenu wana kaa chini? Hahahah itakua kituko
 
Dah.. wapiga pereteperete kama wewe mmebaki wachache sana. Siku mkiisha kabisa nchi hii itapaa kimaendeleo :)
 
Nahisi Muheshimiwa Raisi wetu ana nia njema kabisa na nchi yetu. Kuna mambo ambayo ata mimi nahisi nilikua sipati majibu yake kama ifuatavyo:
  • Inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna wanafuanzi wanaokaa chini ya sakafu (hawana madawati) wakati wazazi wetu walisomeshwa na wakoloni na wote walikua wanakaa kwenye madawati.

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuna vyumba vya madarasa ya kusomeshea watoto wetu ili hali wazazi wetu walisomeshwa kwenye madarasa bora kabisa na wakoloni.

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna viongozi katika kila ngazi ya uongozi ambao hawana ubunifu wanasubiri misaada ya wahisani kutoka nje ya nchi ili shule zilizopo kwenye himaya yao ya ungozi zijengewe vyoo.

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tunaendelea kuwajengea wanafunzi wetu vyoo vya shimo (pit latrines) ili hali wazazi wetu wamesoma katika shule zilizojengwa na wakoloni zikiwa na vyoo vya kukaa.

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuwezi kupanga miji yetu yaani niabu kuona sehemu kubwa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ikiwa na sehemu kubwa ya maeneo ya makazi ya watu yasiyopimwa na yasiyo na mpangilio (squatters).

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru maji safi na salama si yatokayo bombani bali ni yale ya kununua kwenye chupa ilihali nchi nyingine duniani maji safi na salama unayapata bombani.

  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru wagonjwa wanalala chini ili hali nchi ikiwa inakusanya mapato ambayo yanachezewa kwa safari za hovyo hovyo za kwenda nje na kununua magari ya kifahari wakati hatuna ata magari ya kubebea wagonjwa.
Muheshimiwa Raisi mimi nadhani yote unayoyafanya unayafanya kwa nia njema. Nakiri kuna mambo madogo madogo ambayo washauri wako wanatakiwa wakushauri na wewe pia ukubali ushauri wao kama vile:
  • Kutambua uwepo wa Katiba ya Nchi na Sheria mama na zile ndogo ndogo pamoja na kukubali kuzifuata. kwakua wewe ndiyo mfano kwa watanzania wote basi ukifuata sheria na raia wote watafuata sheria bila ya shuruti.

  • Kuoanisha nia zako njema na mipango yako madhubuti ya kiutendaji na mipango iliyopo ya kiuchumi ili utekelezaji wa nia na mipango yako visije vikawa vinakinzana na mipango iliyopo ya kiuchumi.

  • Mwisho kabisa nakuomba ukubali kukosolewa. Kukubali kukosolewa maana yake ni kuruhusu kufanyia kazi fikra mbadala. Unapokataa kukosolewa maana yake ni kwamba unazuia wapinzani wasikusaidie kuainisha kasoro za watendaji wako na za kwako pia. Ukikubali firka mbadala itakusaidia kuchukua hatua kwa haraka na kurekebisha kasoro zilizopo hivyo tutakua na matumaini ya Tanzania ya KISASA, yenye HESHIMA na yenye KUWANUFAISHA WATU WOTE.
Natoa mada.
Hatutaki katiba mpya kwani inaweza kupunguza mamlaka ya rais. Dr. Magufuli aendelee na katiba hii hii ili aibadilishe nchi. Tunataka asiyumbishwe eti katiba katiba maana mamvi na genge lake wanaweza wakahonga watu ili wasikubaliane na rais na hatimaye kumkwamisha.
 
Nahisi Muheshimiwa Raisi wetu ana nia njema kabisa na nchi yetu. Kuna mambo ambayo ata mimi nahisi nilikua sipati majibu yake kama ifuatavyo:
  • Inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna wanafuanzi wanaokaa chini ya sakafu (hawana madawati) wakati wazazi wetu walisomeshwa na wakoloni na wote walikua wanakaa kwenye madawati.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuna vyumba vya madarasa ya kusomeshea watoto wetu ili hali wazazi wetu walisomeshwa kwenye madarasa bora kabisa na wakoloni.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tuna viongozi katika kila ngazi ya uongozi ambao hawana ubunifu wanasubiri misaada ya wahisani kutoka nje ya nchi ili shule zilizopo kwenye himaya yao ya ungozi zijengewe vyoo.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru tunaendelea kuwajengea wanafunzi wetu vyoo vya shimo (pit latrines) ili hali wazazi wetu wamesoma katika shule zilizojengwa na wakoloni zikiwa na vyoo vya kukaa.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru hatuwezi kupanga miji yetu yaani niabu kuona sehemu kubwa ya miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ikiwa na sehemu kubwa ya maeneo ya makazi ya watu yasiyopimwa na yasiyo na mpangilio (squatters).
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru maji safi na salama si yatokayo bombani bali ni yale ya kununua kwenye chupa ilihali nchi nyingine duniani maji safi na salama unayapata bombani.
  • inakuaje baada ya miaka 50 ya uhuru wagonjwa wanalala chini ili hali nchi ikiwa inakusanya mapato ambayo yanachezewa kwa safari za hovyo hovyo za kwenda nje na kununua magari ya kifahari wakati hatuna ata magari ya kubebea wagonjwa.
Muheshimiwa Raisi mimi nadhani yote unayoyafanya unayafanya kwa nia njema. Nakiri kuna mambo madogo madogo ambayo washauri wako wanatakiwa wakushauri na wewe pia ukubali ushauri wao kama vile:
  • Kutambua uwepo wa Katiba ya Nchi na Sheria mama na zile ndogo ndogo pamoja na kukubali kuzifuata. kwakua wewe ndiyo mfano kwa watanzania wote basi ukifuata sheria na raia wote watafuata sheria bila ya shuruti.
  • Kuoanisha nia zako njema na mipango yako madhubuti ya kiutendaji na mipango iliyopo ya kiuchumi ili utekelezaji wa nia na mipango yako visije vikawa vinakinzana na mipango iliyopo ya kiuchumi.
  • Mwisho kabisa nakuomba ukubali kukosolewa. Kukubali kukosolewa maana yake ni kuruhusu kufanyia kazi fikra mbadala. Unapokataa kukosolewa maana yake ni kwamba unazuia wapinzani wasikusaidie kuainisha kasoro za watendaji wako na za kwako pia. Ukikubali firka mbadala itakusaidia kuchukua hatua kwa haraka na kurekebisha kasoro zilizopo hivyo tutakua na matumaini ya Tanzania ya KISASA, yenye HESHIMA na yenye KUWANUFAISHA WATU WOTE.
Natoa mada.
Akiri pana
 
Ninaunga mkono na miguu Thread hii,this is Live bila chenga utawaona watoa mapovu na stomach thinkers wakipotosha ukweli.
 
mtoa mada umemsafisha rais Magufuri, na kuweka wazi hasara za chama cha mapinduzi....

miaka 50 ya uhuru na utawala wa ccm tumeshuhudia mengi.
- eskrow, epa, richmond
- mikataba mibovu ktk sekta ya gesi na madini
- watuhumiwa ktk hoja za CAG kutochukuliwa hatua
- biashara haramu ya wanyama pori na nyara.
 
Mleta hoja uko kama mtaalamu wa saikolojia. Nimependa staili yako ya uwasilishaji wa hoja kwani umeanza kwa kutekenya kisha ukamalizia kwa kumfinya mhusika. Na pengine lengo kuu la hoja ni hizo point zilizo mwishoni.
 
Back
Top Bottom