TBS wafungia kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Shirika la viwango Tanzania -TBS limekifungia kiwanda bubu cha kuchakata vilainishi ambacho kipo katika eneo la Temeke sambamba na kumkamata mmiliki wa kiwanda hicho kwa kukiuka misingi ya uendeshaji wa biashara ya vilainishi.

Chanzo: Radio One
 
Back
Top Bottom