Sniper in Dallas: Polisi wetu mmejifunza?

Sniper in Dallas: Polisi wetu mmejifunza?

Tunawastahi tu hawa wapuuzi wa kibongo tukiamua jino kwa jino mbona patachimbika bila sululu wa jembe ni kuomba Mungu tuendelee na amani yetu uchwara
wanapaswa kuepuka ukatili.wengi wanaokamatwa na makosa ya kusingiziwa na kueleza adhabu wanazopewa huko zinajenga taswira mbaya kwa law enforcers.
 
Huku tz ni wachache sana wanaomiliki silaha, na zinatolea kwa masharti magumu sana. weng wanaomiliki ni wenye pesa zao tofauti na huko kwao hata mtunza bustan anayo.
Wangeruhusu silaha ziuzwe km simu madukani, hiv unafikiri polis wangekuwa wanawasumbua wananchi ovyo ovyo? Kinachoendelea Dallas ni funzo kwa nch zote zenye ubaguz wa rangi.
 
Daaaa!!! Ugomvi wa marekani umehamia bongo tena? naona humu jf kuna wadunguaji si bure,haa haaa aaaaaa
 
Hivi garama za kumkodi sniper ni kiasi gani na wanapatikana wapi sina lengo baya ila nawaitaji
 
Hawa sniper ni watu wenye ujuzi mkubwa wa kutumia siraha na wa Dallas walikuwa kwenye jengo juu na kushambulia wana usalama chini.imekumbusha Rais wao F.kennedy alivyouwawa.ni muhimu mahusiano ya police yawe mazuri dhidi ya raia kwakuwa tunategemeana.

sawa kabisa lazma tuwe tuna mahusiano mazuri kati ya pande mbili hizi polic na raia
 
Americans busy on promoting gays and lesbians movements and remain nully on racism.. shame to you pole... I should not come us and call for humans right in which u can't live it..
 
Americans busy on promoting gays and lesbians movements and remain nully on racism.. shame to you pole... I should not come us and call for humans right in which u can't live it..
brutality is evil either way.
 
Back
Top Bottom