Recent content by Yuda Iscariot

  1. Y

    Kwanini makaa ya mawe hayatumiki majumbani?

    Kama masufuria, au vyombo vya batI vinatoboka, si vingedizainiwa vyungu?
  2. Y

    Msaada : Mto Ruvu unazidi kufurika na kuharibu mashamba. Nini kifanyike kutunusuru

    Ndo hapa natafuta mawasiliano ya mwenye mamlaka, ni watu wa bonde au Tanesco ?
  3. Y

    Msaada : Mto Ruvu unazidi kufurika na kuharibu mashamba. Nini kifanyike kutunusuru

    Salamu wadau Mimi ni miongoni mwa wakulima wa vitunguu na mboga mboga tunaotumia maji ya Mto Ruvu, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Tokea wiki iliyopita kumekuwa na Mafuriko ya maji ya mto, kiasi kwamba wakulima wengi wameshayakimbia mashamba yao yaliyokuwa yamepandikizwa vitunguu. Tunatambua...
  4. Y

    Msaada: Hii hela ni Rupia au?

    Rupia au Rupee ni feza ya Wabaniani. Hata sasa, currency ya India ni Rupee kama sisi tulivyo na Shilling na Zambia walivyo na kwacha. Picha ya kwenye sarafu na majina ni ya watangulizi wa Malkia, though lugha iliyo tumika ni kilatini au kirumi (I stand to be corrected). Nahisi siyo Rupia
  5. Y

    Video: Mount Kilimanjaro ukiwa ndani ya ndege ulivyo

    Truly stunning. Ngoja nizichange siku moja nikafanye utaliii wa namna hiyo
  6. Y

    Ubongo kuwekwa akili unayotaka

    Ngoja nizichange, ukija tu tz namuunganishia my son awe kichwa kama Einstein
  7. Y

    Njia salama za kuhimili tendo la ndoa kwa vijana

    Tutegemee dawa za mswaki (meno) kupanda bei
  8. Y

    Emirates yanunua ndege 40

    Kweli aisee, halafu wangeipitisha Dodoma kwetu.
  9. Y

    Msaada: Kitunguu Kinatoa unjano na Kudondoka

    Kina umri gani toka umeotesha? Umewahi tumia dawa za ukungu? Pattern ya umwagiliaji ikoje? Kama kuna wakulima wazoefu karibu, mwambie awaite wampe ushauri.
  10. Y

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Si wanasema kule wanafundishwa uzalendo. Maana nahisi sina huo uzalendo (kwa mujibu wa kiongozi fulani wa juu wa nchi hii)
  11. Y

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Hivi kuna sharti la umri? I'm 35, sasa sijui na mimi bado ni kijana? Kwa macho ya taifa
  12. Y

    UCHUMBA: Naomba ushauri hatua za kufuata

    Anza wewe kumtambulisha kwenu. Hata zamani za wahenga, kijana wa kiume alikuwa akipata mchumba a nawaambia ndugu zake kwanza, then ndugu zake wanascout na kuja na taarifa sahihi za mchumba.
  13. Y

    UCHUMBA: Naomba ushauri hatua za kufuata

    Almost kila kabila lina taratibu zake. Ulizia wa kubwa taratibu za kwenu zikoje. Then muulizie na mwenzio taratibu za kwao zikoje. Kama nyie ni miongoni mwa waliopoteza ukabila na kuwa wa swahili, then ushauri wa barua plus mshenga utafaa zaidi
  14. Y

    Yule mchumba niliyempata ni mchawi, shetani, si binadamu wa kawaida kamwe

    Ukitaka wife, kigezo kisiwe Uzuri wa sura pekee. Kuna vitu vingi kwenye ndoa, Uzuri wa umbo na sura huchukua sehemu ndogo tu.
Back
Top Bottom