Njia salama za kuhimili tendo la ndoa kwa vijana

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,672
Habari za jioni Wakuu!

Kutokana na kuongezeka kwa wimbi la vijana wadogo wa kiume kushindwa kuhimili tendo la ndoa, nimeamua kushea nanyi mbinu mbadala ambayo nimeitumia kwa miaka mingi na nadhani itawasaidia wengi hasa wale wenye tatizo la kuwahi ku/kOʄOwa/

Wadogo zangu ambao ni chini ya 35 mie kaka yenu sijawai kutumia dawa ya kuongeza nguvu za kiume ila nimewahi kutumia mbinu ya kunifanya nichelewe ku-cum kwa njia ya kienyeji na salama.

Unajua ukikaa muda mrefu yaani zaidi ya wiki hujaduu, kamasi huwa zimejazana sana hivyo wakati wa mechi huwa ni dakika tano tu unatema makohozi.

i. Mbinu za dharura ambazo huwa nazitumia ni mbili au namba mbili peke yake;

1. Kupiga puchu ya kistaarabu, sio ya kutumia minguvu hadi kideti wako akija uko hoi. Tumia mafuta tomasa urungu taratibu huku ukivuta hisia baada ya dakika kadhaa kohozi litatoka. Baada ya zoezi hilo kaoge ujiswafi.

2. Baada ya puchu, chukua dawa ya mswaki kamulia kwenye mkono, kiasi kama kile unawekaga kwenye mswaki paka maji kidogo kwenye dudeli. Chukua dawa ya mswaki pakaza kwenye kichwa cha Mtwangio. Anza kuchua kichwa taratiibu. Fanya kwa angalau dakika tano. Usinawe vaa umsubirie kideti. Na ifanye angalau nusu saa kabla ya mechi. Akija nenda kajiswafi maana ukimuingilia bila kuinawa utazua balaa lingine, utamkuna hadi nguvu ya dawa iishe.


Faida yake ni;
1. Ni njia salama isiyo na gharama ya kuchelewa kufika kileleni.
2. Hutia ganzi flani kwenye urungu na kukufanya uchelewe ku-ejaculate.
3. Unakuwa na confidence na hivyo kumridhisha mwenza.

ii. Mbinu za kudumu;
1. Chukua mdalasini ya magamba, loweka kwenye maji kiasi cha glasi tatu mida ya jioni hivi, acha ilale ndani ya maji, kesho asubuhi kunywa glasi moja chukua vitunguu swaumu punje kama tatu ukiweza tafuna ukiona vp meza tu.
2. Angalau mara moja kwa siku kunywa juisi ya tende mixed na maziwa asilia ya ng'ombe.
3. Kula samaki kwa wingi kuliko nyama, punguza vyakula vya mafuta ya viwandani, mboga kwa wingi, maziwa, matunda na vyakula vya asili.

Endelea na zoezi maisha yako yote utaona matokeo yake.

Mrejesho:
Mechi utakayopiga niletee mrejesho maana ukifuata maelekezo yangu hutotumia tena madawa ya kikongo wala kimasai. Mie ni shuhuda wa miaka mingi na sijawai kumuangusha mpenzi/mke hata siku moja.
 
Haha siwez jaribu hio mbinu yako asilani mkuu maana najua chemical zinazotengeneza hizo dawa za msuaki zinawez kuniletea madhara mwishon ya kufanya tendo bila kujiskia raha ipasavyo

Njia yangu ninayotumia kawaida ni kupunguza speed ya msuguano wakat nakaribia ku cum au kupeleka mawazo yangu mbali kwa mda flan had hali ya kuwa karib ku cum inapoondoka ndo naendelea tena na high speed
Yaan inakua mwendo ni huo had nashtukia nishauwa nusu saa

Note :kwa wale malimbukeni hawawezi hii njia
 
Nawashauri watumie

¡¡.Mbinu za kudumu ni bora zaid maana vitu vingi vitatibika kupitia maji ya mdalasini na hicho kitunguu
 
Kila siku kuna tiba mpya kulingana na tatizo hili la vijana wa kileo, anyway wamekusikia wahusika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom