UCHUMBA: Naomba ushauri hatua za kufuata

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Ni kijana, Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miezi mitatu sasa.

Hatujawahi tambulishana kwa wazazi zaidi ya ndugu wa kawaida tu. Sasa tunataka tutambulishane kwa wazazi ili iwe official. Hatua zipi tunatakiwa kufuata ili kwenda kutambulishana kwa wazazi?
 
Ni kijana,Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miezi mitatu sasa.Hatujawahi tambulishana kwa wazazi zaidi ya ndugu wa kawaida tu.Sasa tunataka tutambulishane kwa wazazi ili iwe official. Hatua zipi tunatakiwa kufuata ili kwenda kutambulishana kwa wazazi?
Duh miez 3 tu?
 
Inatakiwa mda gan mkuu
Kama ndo kwanz mmekutana nahic miez 3 its too early kumpeleka mtu nyumban bt kama mnafahamian tangu zaman afu ndo mmedate kwa iyo miez 3 tambulishaneni tuu sio mby........process ni unaandika barua afu unamtuma mshenga then mambo mengine yataendelea
 
Huku kwa upande wa wazaz wangu inakuaje?
 
Almost kila kabila lina taratibu zake. Ulizia wa kubwa taratibu za kwenu zikoje. Then muulizie na mwenzio taratibu za kwao zikoje. Kama nyie ni miongoni mwa waliopoteza ukabila na kuwa wa swahili, then ushauri wa barua plus mshenga utafaa zaidi
 
Poa mkuu.kipi kinakuwa kinaanza kumtambulisha mwanamke kwetu au Mimi kutambulishwa kwao.Na taratibu ziko vip may be kwa sisi waswahili tu.hata kwa kabila lako nisaidie
 
Back
Top Bottom