Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Poa njoooNitakuja!
Poa njoooNitakuja!
Nitampitia na dada Sky Eclate!Poa njooo
Mkuu, maswali ni mengi kuliko majibu!Hivi haya makaa yetu ya mawe yanaubora? mbona makampuni wanayafuata ya afrika ya kusini wakati huko ni mbali na wanataka kupata faida?
Khaaaa asee kuna watu waongoYanatumika vibanda vya chips
Ipo namna ya kuyapunguza Moto wowote uutakao unayachanga na maranda au pumba za mpungaKwanishati ya kupikia bado,tuyaacheni yatumike kuzalishia vitu vingine