UCHUMBA: Naomba ushauri hatua za kufuata

Kwanini mkuu

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Usijekuwa unadangwa yakhee.anyway kwanza lazma ujue mazingira ya kwenu na kwao yapoje.
Pia uangalie na wew upoje.kuna uchumba wa kisasa yaani kutambulisha kwa wazazi tu kabla ya kutoleana posa.
Kuna uchumba ww heshima huu upo kikubwa zaidi huu ni kupeleka cha uchumba kwa kina mchumba ili familia iwe inajua kuwa huyo tayar ana mtu.
Shika hili maana tutakuchanganya,fanya ivi mwambie mchumba ako awaambie kwao kuwa anamchumba ake anataka kumleta wamjue jibu utakalopewa utakuwa umeshajua makorokoro mengine kuwa uende kizaman au kisasa
Pia wakat huohuo na wew waambie kwenu kuwa una mchumba na karibun utamleta kwenu wamuone
AKILI ZA KUAMBIWA TUMIA NA ZAKO
 
Ahsante mkuu

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Kama ndo kwanz mmekutana nahic miez 3 its too early kumpeleka mtu nyumban bt kama mnafahamian tangu zaman afu ndo mmedate kwa iyo miez 3 tambulishaneni tuu sio mby........process ni unaandika barua afu unamtuma mshenga then mambo mengine yataendelea
Naomba nije PM unipe sampo ya barua hiyo
 
Ni kijana,Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miezi mitatu sasa.Hatujawahi tambulishana kwa wazazi zaidi ya ndugu wa kawaida tu.Sasa tunataka tutambulishane kwa wazazi ili iwe official. Hatua zipi tunatakiwa kufuata ili kwenda kutambulishana kwa wazazi?
Mkuu tafuta wazee wa ukoo wakupe taratibu
 
Poa mkuu.kipi kinakuwa kinaanza kumtambulisha mwanamke kwetu au Mimi kutambulishwa kwao.Na taratibu ziko vip may be kwa sisi waswahili tu.hata kwa kabila lako nisaidie
Anza wewe kumtambulisha kwenu. Hata zamani za wahenga, kijana wa kiume alikuwa akipata mchumba a nawaambia ndugu zake kwanza, then ndugu zake wanascout na kuja na taarifa sahihi za mchumba.
 
Poa mkuu.kipi kinakuwa kinaanza kumtambulisha mwanamke kwetu au Mimi kutambulishwa kwao.Na taratibu ziko vip may be kwa sisi waswahili tu.hata kwa kabila lako nisaidie
Mnacomplicate sana maisha, unayeowa ni wewe, mwanamke atawaeleza kwao kama kuna mwanaume anataka kumuoa.

Hapo kuna option mbili tu ya kwanza wanaweza kutaka kukuona kwanza au wengine hawataki mlolongo utaambiwa tuma mshenga apeleke barua.

Hapo ndio unaweza kuwatambulisha na kwenu kwamba una mtu unataka kuoa na umeanza process.

Kumbuka muowaji ni wewe huitaji approval ya familia kuoa unless kuna kitu very special.
 
Minimum inatakiwa miez mingap?
walau mwaka kama mmekuwa mnafahamiana muda mrefu kushinda hapo. ni ngumu kwa wazazi kuwaruhusu muoane ilhali mahusiano yenu ni ya muda huo
 
Baada ya miezi kadhaa uje hapa unalia. Huo ni mhemko tu mapenzi ya awali. Chunguzaneni kwanza kila mmoja ajue na mapungufu ya mwenzake na kama anaweza kuyavumilia au la. Hapo kila mmoja atakuwa na maamuzi sahihi kutambulishana au la.
 
Ndg kwakuwa uamuz wako ni kwenda ukweni ukajitambulishe
Unaanza kumtambulisha kwenu rasmi then yeye pia afanye hivyo kwao hasa kwa mama ake na awaambie tuu
(Yeye amepata mchumba na amempenda na anahitaji kujitambulisha ) hapo mama atachonga na mzee

Mama atakupa utaratibu wa kumwambia mwenzako aje vp then mtapanga tarehe utafika ila nenda na rafik zako wew usiwe muongeaji sana zaidi ya raisi yako utae mteua kuwa anaendesha maaongezi [mshenga)
 
Ila kwa uchumba wa miez 3# naona kama usubir ufikishe mwaka 1#
 
Mkuuu huyo dem kakupa limbwata aiseee,au ana umri mkubwa anawahi kuolewa mapema maana mda huo mchache sna labda awe ndio mwnamke wako wa kwnza
 
hayo majibu kama ya kipima joto cha itv, ngoja mie niendele kusoma comment ma kucheka
 
Baada ya miezi kadhaa uje hapa unalia. Huo ni mhemko tu mapenzi ya awali. Chunguzaneni kwanza kila mmoja ajue na mapungufu ya mwenzake na kama anaweza kuyavumilia au la. Hapo kila mmoja atakuwa na maamuzi sahihi kutambulishana au la.
Dah Ahsante mkuu
 
Ndg kwakuwa uamuz wako ni kwenda ukweni ukajitambulishe
Unaanza kumtambulisha kwenu rasmi then yeye pia afanye hivyo kwao hasa kwa mama ake na awaambie tuu
(Yeye amepata mchumba na amempenda na anahitaji kujitambulisha ) hapo mama atachonga na mzee

Mama atakupa utaratibu wa kumwambia mwenzako aje vp then mtapanga tarehe utafika ila nenda na rafik zako wew usiwe muongeaji sana zaidi ya raisi yako utae mteua kuwa anaendesha maaongezi [mshenga)
Ahsante mkuu
 
vuta subira kidogo, angalau mmalize miez 8/9ndo muanze hiz taratiibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom