Emirates yanunua ndege 40

Emirates yanunua ndege 40

Usafiri wa anga ndio usafiri unaopendwa na kuaminiwa sana duniani na itachukua miaka mingi sana kutokea usafiri ambao unaweza kupindua fikra za watu juu ya usafiri wa anga rabda miaka 150 ijayo ndio kuna uwezekano wa kuwepo usafiri utakao tishia ushafiri wa anga na usafiri huo ni Hyperloop ambao utakuwa na speed sana zaidi ya ndege lakini itachukua miaka mingi sana mpaka kuconnect dunia kama ilivyo kwa ndege. Kuna mashirika zaidi ya 2000 duniani yanayo operate zaidi ya ndege 23,000 kwenye viwanja vya ndege zaidi ya 3,700 Duniani mpaka kufikia mwaka 2006 kulikuwa na zaidi ya safari milion 72 zilizobeba zaidi ya abiria bilion 2.3 kwa mujibu wa International Air Transport Association (IATA)

Ukuaji wa biashara hii imekuwa ikikua kwa kiwango cha 5% kila mwaka kwa kipindi cha miaka 30 mfululizo na inasadikika pato la safari za anga linaweza kukua mpaka mara mbili kwa kipindi cha mika 10-15 ijayo kwa Marekani pekee mashirika 100 ya ndege yanafanya zaidi ya safari milion 11 kwa mwaka na kubeba zaidi ya abiria 745 milion na zaidi ya watu 545,000 wamepata ajira kwenye ndege 8000 zinazofanya safari 31,000 kwa siku , kumbuka Marekani ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutumia sana usafiri wa ndege ikifatiwa na China na UK pato la Biashara hii ya anga kwa mwaka ni zaidi ya$ 1.2 Tillion

United Arab Emirates na Qatar nchi ambazo kwa pamoja zina eneo la ukubwa wa square kilometres 78,926 ndani ya nchi hizo kuna mashirika makubwa matatu ya ndege Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways mashirika haya ukiangalia yameanza miaka ya 1985,1993 na 2003 lakini yamekuwa ni tishio kwa mashirika ya ndege Duniani na wao kutawala Anga la Dunia ktk Usafiri wa Anga

Mashirika haya unaweza sema hayajiendeshi kibiashara kwani kila mwaka serikali inapump mabilion ya dola kwenye mashirika haya kununua ndege za kisasa zaidi ya dola billion 50 zimetumika na mashirika haya kujijenga kutoka serikali zao si kwa mtaji wa mshirika au faida wa kampuni kitendo ambacho kinaondoa ushindani ktk usafiri wa anga kwa mashirika mengine yanayojiendesha yenyewe kwa pato la shirika pia mashirika haya pamoja na kuwa na madege ya kisasa bado yanauza ticket kwa bei ndogo si ya kisoko kitendo ambacho hakuna shirika lolote Duniani litakaloweza kupambana na mshirika hayo na mwisho wa siku Anga la Dunia katika usafiri wa anga litakuwa chini yao kama walivyoteka Anga la Europe,Asia,Africa na wanakwenda kuteka na US muda c mrefu kwani mpaka sasa order za ndege mpya kwa makampuni haya matatu yani order za kutengenezewa ndege mpya kutoka Boeing na Airbus ni 539 yani Emirates 222, Qatar 169 na Etihad ni 148 huku order za ndege mpya za makampuni yote ya US ni 159 na order zote za ndege mpya za makapuni ya China ni 76 so unaweza kuona soon waarabu wanatawala anga la dunia
Salute kwako mkuu izzo.Very impressive analysis.
 
Boeng imeanzisha maonyesho yake ya ndege huko Dubai kwa kutangaa mauzo makubwa mapya katika maonyesho hayo ya siku tano.

Ilitangaza kuwa Shirika la ndege la UAE la Emirates limeagiza ndege 40 za Boeng 787 Dreamliners, katika mkataba wa thamani ya dola bilioni 15.

Emirates kupunguza safari za Marekani

Mwenyeki wa shirika hilo Sheikh Ahmed bin Saeed al-Maktoum, amesema kuwa Boeng imechaguliwa badala ya Airbus A350.

Alikuwa ametarajiwa kutoa tangazo kubwa la kuagiza ndege za Airbus A380 superjumbo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari.

Airbus inahitajia ndege zake za A380 kuagizwa zaidii zikiwa ndizo ndege kubwa zinazotumika kwa sasa.

Emirates ndilo shirika la ndege kubwa zaidi mashariki ya kati likiwa mnunuzi mkubwa zaid ya Boeng 777 na lina ndege 165 zinazohudumu likiwa tena limeagiza ndege 164.

Muungwana
Donor country huku kandege ketu kako lockerup za Canada,kanadaiwa
mbona tunaweza isipokua hatujaamua tu cc ni "donor county" kwa tariifa yako
 
Sasa ni maendeleo gani, wafanyakazi na wafanya biashara makato ni makubwa ni kama kukomoana. Angalia hata thamani ya shilingi huporomoka, makusanyo ya kodi kwa maana ya vyanzo vipya vya mapato hakuna which seems kubana kupitia ukusanyaji tu ndo solution, itatuchukua miaka mia kwa mtazamo wa inchi ya viwanda kuwa the reality case!!!
 
Aisee kama kuna kipindi Boing imefanya biashara ni kipindi hichi cha Trump
 
Njemba zilizotumwa na nanihii bado ziko kwenye mazungumzo lakini mazungumzo yanaelekea hayatakuwa na manufaa bila njuluku za kulipa angalau $12.5 million papo hapo na balance kulipwa haraka iwezekanavyo katika kipindi cha miaka miwili au mitatu na riba juu. Kuna tetesi kwamba mazungumzo yameongezwa muda.

bombadear yetu itakuja lini?
 
Usafiri wa anga ndio usafiri unaopendwa na kuaminiwa sana duniani na itachukua miaka mingi sana kutokea usafiri ambao unaweza kupindua fikra za watu juu ya usafiri wa anga rabda miaka 150 ijayo ndio kuna uwezekano wa kuwepo usafiri utakao tishia ushafiri wa anga na usafiri huo ni Hyperloop ambao utakuwa na speed sana zaidi ya ndege lakini itachukua miaka mingi sana mpaka kuconnect dunia kama ilivyo kwa ndege. Kuna mashirika zaidi ya 2000 duniani yanayo operate zaidi ya ndege 23,000 kwenye viwanja vya ndege zaidi ya 3,700 Duniani mpaka kufikia mwaka 2006 kulikuwa na zaidi ya safari milion 72 zilizobeba zaidi ya abiria bilion 2.3 kwa mujibu wa International Air Transport Association (IATA)

Ukuaji wa biashara hii imekuwa ikikua kwa kiwango cha 5% kila mwaka kwa kipindi cha miaka 30 mfululizo na inasadikika pato la safari za anga linaweza kukua mpaka mara mbili kwa kipindi cha mika 10-15 ijayo kwa Marekani pekee mashirika 100 ya ndege yanafanya zaidi ya safari milion 11 kwa mwaka na kubeba zaidi ya abiria 745 milion na zaidi ya watu 545,000 wamepata ajira kwenye ndege 8000 zinazofanya safari 31,000 kwa siku , kumbuka Marekani ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutumia sana usafiri wa ndege ikifatiwa na China na UK pato la Biashara hii ya anga kwa mwaka ni zaidi ya$ 1.2 Tillion

United Arab Emirates na Qatar nchi ambazo kwa pamoja zina eneo la ukubwa wa square kilometres 78,926 ndani ya nchi hizo kuna mashirika makubwa matatu ya ndege Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways mashirika haya ukiangalia yameanza miaka ya 1985,1993 na 2003 lakini yamekuwa ni tishio kwa mashirika ya ndege Duniani na wao kutawala Anga la Dunia ktk Usafiri wa Anga

Mashirika haya unaweza sema hayajiendeshi kibiashara kwani kila mwaka serikali inapump mabilion ya dola kwenye mashirika haya kununua ndege za kisasa zaidi ya dola billion 50 zimetumika na mashirika haya kujijenga kutoka serikali zao si kwa mtaji wa mshirika au faida wa kampuni kitendo ambacho kinaondoa ushindani ktk usafiri wa anga kwa mashirika mengine yanayojiendesha yenyewe kwa pato la shirika pia mashirika haya pamoja na kuwa na madege ya kisasa bado yanauza ticket kwa bei ndogo si ya kisoko kitendo ambacho hakuna shirika lolote Duniani litakaloweza kupambana na mshirika hayo na mwisho wa siku Anga la Dunia katika usafiri wa anga litakuwa chini yao kama walivyoteka Anga la Europe,Asia,Africa na wanakwenda kuteka na US muda c mrefu kwani mpaka sasa order za ndege mpya kwa makampuni haya matatu yani order za kutengenezewa ndege mpya kutoka Boeing na Airbus ni 539 yani Emirates 222, Qatar 169 na Etihad ni 148 huku order za ndege mpya za makampuni yote ya US ni 159 na order zote za ndege mpya za makampuni ya China ni 76 so unaweza kuona soon waarabu wanatawala anga la Dunia
Humu ndani kama kila moja wetu angekuwa kama wewe, basi IQ yetu ingekuwa ni triple digit. Big up Comrade and keep it up..
 
Ukisoma history ya Emirates walianza na kukodishia tu ndege toka Pakistan 1986 leo hii wote tunaona. Shekh Mohd alikuwa na vision tu nataka hivi basi wakaja mzee tupe mtaji million 10 ndio mwanzo wao na walichofanya kujenga uwanja mkubwa na sio uwanja tu lazima kuwe na Hotel za kutosha kukuwa pamoja na wingi wa watu yaani mipango yote inaenda sambamba. Kila mtu kafanya kwa upande wake kuelekea one vision. idara za serikali zinashindana kiutendaji wa goals na targets. wakati sisi tuna Air Tanzania wao walikuwa hawana hata ndege. tumebaki uchama tu ohh sijui barabara sijui michango ya shule. kwao ni aibu mtu kusema barabara ni achievement maana ni wajibu wa serikali kuboresha miundo mbinu sio kupigia kampeni. leo hii airport yao huna haja ya kupitia immigration officer ukitaka unatumia smart gate yote kuwafanya watu wavutiwe kupitia Dubai na ukipita Dubai lazima uta spend airport au utatoka kuchukuwa hotel na ukitoka utanunua zawadi tu kwa hiyo ndege ina link na kila kitu katika maisha ya Dubai. we have long way to go lakini sio impossible. ukiwa unatembea kati ya Terminal C na B utaona wameweka history yao starting 1986 mpaka leo kweli utafungua mdomo tu hakuna maajabu ni vision na hard work.
 
Hawa waarabu kama si vitavita wangekuwa mbali mno,
ndo maana kila baada ya miaka kadhaa lazima wapunguzwe speed kwa miji yao kuharibiwa,bila hivyo wanafanya kufuru mno,
mshindani wao mkuu eneo hilo ni iran ,ila wakiungana wote hawana mshindani kiuchumi hapo hata Turkey anakaa
 
Duuh jamani hivi kindege chetu kimoja tu ndo huko Canada wamekatalia kabisa?

Kweli tuko tofauti aisee
Mijitu ina sifa kinoma inaagiza mindege kibao wakati sisi kindege kimoja tu kimeshindikana
 
Back
Top Bottom