Recent content by Yousuph .M.

  1. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri ya Uyui auwawa

    Hapa Tabora ni kwamba kuna siasa za makundi ambapo ndizo zaathiri yote, na wakubwa zaidi hususan wale majemedari wa mkoa/wilaya na halmashauri ndio vinara wa mipango (deals). Hivyo itokeapo jamboa lao ama likazuiwa au likakawizwa...basi yule anayekawiza hutoweka kabisa duniani na si kutoweka ktk...
  2. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri ya Uyui auwawa

    Haya ndio mauaji ya siku hizi hapa Tabora, ni mambo ya kisiasa na wanapopingana juu ya miradi hewa ndipo DHAHMA kama hizi hujiri kwao na huwa ni risasi tu. No dialogue, can't negotiate
  3. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri ya Uyui auwawa

    WanaJF, Usiku wa kuamkia leo mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora (Mh. Mashaka) ameuawa kikatili kwa risasi akiwa nyumbani kwake eneo la Ipuli nje kidogo ya mji. Ameuwawa akiwa na familia yake ambapo inasemekana ni wezi, iko hivi... Nyumba yake imepigwa jiwe kubwa mlangoni...
  4. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Simu original

    Wadau, Sisi tunajishughulisha na uuzaji wa simu rejareja na jumla, simu zetu zote zina warranty ya miezi 12. Sisi ni Nokia- SUPER DEALER Sisi ni Motorola- AUTHORISED DISTRIBUTOR Sisi ni Blackberry- AUTHORISED DISTRIBUTOR Sisi ni Zedd phones- AUTHORISED DISTRIBUTOR Sisi ni Samsung- PRIORITY...
  5. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Buy a car for TShs 1.999M and TShs 5.999M

    Hiyo Starlet inatembea ama? Umeshusha engine au kugongwa?
  6. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Simu simu simu

    Mkuu, Tunapatikana hapa, CHANG'OMBE ROAD, SOPHIA HOUSE 2nd floor, OPP. VETA HQ.
  7. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Simu simu simu

    Mkuu, Zipo Nokia C-200 & C-201, bei zake nitakuPM kwa mujibu wa (highlighted in red).
  8. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Simu simu simu

    Wapendwa, Tunapenda kuwakaribisheni wote kuwa kwa yeyote mwenye kuhitaji simu original na zenye waranty ya mwaka mzima (nokia, samsung, LG, Blackberry all models, Sonny Erricsson)...chonde atuone kwa mawasiliano ili tumpokee na kumpatia mahitaji yake katika simu za viganjani na hata zile za...
  9. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Mjengo atakao kuwa anapiga mzigo .... Tido mhando....magamba...kwishney na tbc yao!

    TBC studio inazidiwa na hata ile ya Star tv, sembuse Aljazeera!!!
  10. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Kwani is HE (Ghadaffi) still strong kijeshi na kifedha? Why wamagharibi wanamkhofia kiasi hicho?
  11. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aripoti Akiwa JUBA sasa hivi

    Sijaielewa hii sredi, V8, Hummers & Nissan Patrols....?????
  12. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha

    Lahaullah! Ndio baa la njaa limeanza, bado halijashika kasi. Sijui likishika kasi ITAKUWAJE, kilimo kwanza...
  13. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Mkuu, Usihisi bali ndio UHALISIA. Elewa kuwa TFF & CECAFA hawaangalii kombe linaenda wapi, bali je gharama za kuendesha mashindano zinarudi vipi na kupata salio la kuendesha CECAFA kwa mwaka mzima. Maana zikikutana timu hizo gharama zooote za uendeshaji zitajilipa huku salio zuri tu likibaki.
  14. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Nakufa Jamani

    ni dalili za ulcers hizo..
  15. Yousuph .M.

    JamiiForums Tanzania Wajameni hodi

    Karibu,
Back
Top Bottom