Nakufa Jamani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,827
Tumbo linaniuma sana tena zaidi ya sana, kama la kuharisha lakini siharishi.
Nimekuwa nikijisikia kwenda haja, lakini mara niingiapo maliwatoni hamna kitokacho, ni mimi na maumivu, naumia sana.
 
Pole Mikela, hautakufa wala usiwe na wasiwasi! Ulikula nini katika kipindi cha masaa 24.?
 
au wewe ni shabiki wa yanga sc nin usikonde mtapita tu hata kwa kubebwa...
 
kijana pole, hebu kata viroba vya konyagi fasta vikusafishe tumbo na kuua wadudu wote tumboni.
 
Hizo ni dalili za kupanic. Tuliza boli kijana, whatever it is u will succeed.
 
Aidha umekula chakula chenye food poison. Nenda hospital haraka. Pole sana
 
Tumbo linaniuma sana tena zaidi ya sana, kama la kuharisha lakini siharishi.
Nimekuwa nikijisikia kwenda haja, lakini mara niingiapo maliwatoni hamna kitokacho, ni mimi na maumivu, naumia sana.

Wahi hospital kazi hizi zipo na zitaendelea kuwepo.
 
acha kubana matumizi, jitahidi kula walau kitu kidogo kufuata ratiba ya mlo wa siku, na maji ya uvuguvugu pia usisahau, maumivu yakizidi mwone Dr.
 
Tumbo linaniuma sana tena zaidi ya sana, kama la kuharisha lakini siharishi.
Nimekuwa nikijisikia kwenda haja, lakini mara niingiapo maliwatoni hamna kitokacho, ni mimi na maumivu, naumia sana.[/QUOTE Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na
kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu
yaletwayo na vidonda vya tumbo.
Matumizi kunywa kijiko kimoja kikubwa Asubuhi kabla ya kula kitu na mchana na usiku kutwa mara tatu itakusaidia kutuliza hayo matatizo yako ya tumbo tumia kisha unipe maelezo yako je imekusaidia Asali? la kama bado hujapona nenda kamuone daktari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom