Buy a car for TShs 1.999M and TShs 5.999M

Buy a car for TShs 1.999M and TShs 5.999M

TMK DAR

Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
46
Reaction score
11
Haya wadau asiye na gari na analihitaji msimu umefikia,

Toyota Starlet ya 1999,5 doors, manual, white -minor body repairs chini- 1,999,999TShs.

Toyota Corola 1995, white, manual ,5 door NO problem (1 Kick) 5,999,999Tshs

Zote hizo hamna discount wala kupoa.
PM me if you are interested,
TMK.
 
ka kaaa kaaaaa....uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
niuzie baiskeli kaka!!
 
Hiz ndio huwa zinaonekana zinapaa kushindana na mashangingi ya serikali, jamaa atauza haswa hiyo starlet, ndg zetu wa Arusha wanazipenda sana hizo.
zimetembea hadi zimechoka kutembea, sasa zinatambaa
 
Haya wadau asiye na gari na analihitaji msimu umefikia,

Toyota Starlet ya 1999,5 doors, manual, white -minor body repairs chini- 1,999,999TShs.

Toyota Corola 1995, white, manual ,5 door NO problem (1 Kick) 5,999,999Tshs

Zote hizo hamna discount wala kupoa.
PM me if you are interested,
TMK.

Hiyo Starlet inatembea ama?
Umeshusha engine au kugongwa?
 
hivi wale matapeli wa viwanja hawapo kama huyu jamaa? tangazo bila picha!
 
Haya wadau asiye na gari na analihitaji msimu umefikia,

Toyota Starlet ya 1999,5 doors, manual, white -minor body repairs chini- 1,999,999TShs.

Toyota Corola 1995, white, manual ,5 door NO problem (1 Kick) 5,999,999Tshs

Zote hizo hamna discount wala kupoa.
PM me if you are interested,
TMK.

Weka na picha basi ili tujiridhishe
 
zimetembea hadi zimechoka kutembea, sasa zinatambaa
<br />
<br />
HIZI NAONA HATA KUTAMBAA ZIMESHACHOKA,ITAKUWA ZIKO JUU YA MAWE,SI UNAONA HATA KUPIGWA PICHA ZIMESHINDIKANA.
 
Me Nataka Nissan Civilian 31 Pasengers kama ipo lakini iwe Bomba Sana
 
Natafuta Toyota Ipsum yenye hali nzuri kwa matumizi ya familia. Mwenye nayo ani-pm ila isiwe bei ya kwenye yard.
 
Wakuu starlet imeondoka, najaribu ku upload picha za
Corrola.
 
Back
Top Bottom