masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Baada ya kusikia upatu wa Jamii forums ukivuma nikaona hebu nipige hodi.
Hodi hodi wajameni!
Hodi hodi wajameni!
Angalizo: sio DECI, Karibu mpiga hodi.karibu upatuni
Afu wee babu mbona walal kihivo?karibu upatuni, ila ukikaa vibaya utasutwaaa!! Usije ukakimbia, uwe tayari kwa vyovyote.