Recent content by YoungCorporate

  1. YoungCorporate

    Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

    Kenya hawapo SADC ila wapo COMESA, SA wapo SADC, sasa labda wananunua nchi za Comesa.
  2. YoungCorporate

    Je, ninunue gari gani kati VW Tuareg, VW Tiguan, Audi Q5 ama Toyota Fortuner?

    Hivi bei za SA kwa BMW X5 diesel ya mwaka 2008 mpaka 2012 ni bei gani mpaka dar+tax? Na vp kuhusu ishu za udanganyifu nasikia kuna baadhi wanauza halafu ukishaisajili huku wanareport kule imeibwa, interpol wanakudaka, hiyo imekaaje, yaani kuna magari ya wizi pia mengi kutoka SA. Za uingereza...
  3. YoungCorporate

    Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

    Ukimchunguza sana bata utashindwa kumla.... Wanawake wanamatatizo mengi sana ya mambo ya uzazi kama fibroids, hormones n.k pengine anajua presha za wakwe na mawifi akiolewa ndoa isijibu itakuwa tatizo ameamua kutibu tatizo mapema....sijajua wewe unawasiwasi kwa upande upi, unahisi ametoa mimba...
  4. YoungCorporate

    Mke kaniweka njia panda, naombeni ushauri

    Kama muislam oa mke wa pili, muhimu usimnyanyapae tu. Mjali, mthamini ila akili kichwani ukimuendekeza huyo kichwa asie na ubongo utaumia, haja zako zitimize kwingine umri wako bado usijidhulumu lakini pia fikiria ingekuwa wewe unao yeye hana ungependa afanyeje..
  5. YoungCorporate

    Naomba ushauri na experience ya kupeleka nakuuza gemstones Canada au Australia kutoka Tanzania

    Kuna jamaa anaitwa 'google' huyo anataarifa nyingi sana kama 'ze english' inapanda. Sikuhizi biashara inafanyika online kabisa. Usisumbuke kwenda mpaka canada kumbe demand ya gems hamna. Hebu tumia gugo vizuri.
  6. YoungCorporate

    Mmhh tumekwisha sasa!

    Nadhani labda swali la msingi ni je utolewaji wa bure utakuwa wa quality ipi? Kimsing sioni tofauti yeyote itakayotokea ukilinganisha na sasa, na sidhani kama kuitoa bure kutatupeleka mbele. Kwa sasa shule ya msingi ni bure na sekondari ni elfu 20 mpaka 70 (mnaojua mnisahihishe). Hii ni gharama...
  7. YoungCorporate

    Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Umeshatoa mimba ngapi? Unawapenda wote 50/50? Chagua jibu sahihi hapo chini..... 1. Olewa na mwenye mimba aibu ndio gharama ya makosa yako...ya kutoa kavu kavu! 2. Mwambie mchumba ukweli kama kweli ameoza atakubali kulea mzigo wa watu...chances za yeye kukubali 19%...lakini ni chances uzuri...
  8. YoungCorporate

    Mteja wa hizi hela za kale

    Biashara halisi ambayo inafuata mifumo ya kiuchumi ni ile inayozingatia mabadilishano ya bidhaa (exchange of products). Hivyo biashara kama za hisa/bonds/future/derivatives ni mfani ya uchumi usio halisi kwa sababu haumbatani na mabadilishano ya bidhaa bali ni makaratasi na fedha. Uchumi wa aina...
  9. YoungCorporate

    Kitugani kinamfanya mtu awe mtu?

    Emotions, Soul and Developed brain capacity are what makes human a human and not animal or plant.
  10. YoungCorporate

    Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

    Back to basics.... Nenda kapime minyoo au simply kunywa dawa za minyoo... tumia food supplements ambazo ni maalum kwa kuongeza uzito kula vyakula vyenye protein na fat (kuwa makini usitumie unheathy fatty food ambazo zaweza leta madhara kiafya) Kula milo mitatu mizito na midogo midogo miepesi...
  11. YoungCorporate

    Msichana kafunguka nifanyeje.

    Sidhani kama anamaanisha umuoe right away...anamaanisha muwe marafiki (bf/gf/fu*k mates) then hesabu zikikubali ndio mengine yfuate....nadhani ni weird msichana akwambie anakutaka kwa ajili ya kuwa f* mate...japo hilo laweza kuwa lengo...kutunza heshima yake anaingia kwa gia kubwa ya...
  12. YoungCorporate

    This is Insane...

    Air Yeezy 2.....looks dope if you are trendy/shopperholic...
  13. YoungCorporate

    naomben iushauri wapendwa

    SIDE A.....Nadhani hiyo bikira unaiweka mbele sana kama ndio kila kitu mpaka una-loose touch ya wewe ni nani na unatakiwa ku-play yourself katika hivyo videti vyako....Don't make that loose vestigial skin a big deal and a leverage/ticket to relationship life...be yourself and play normal....when...
  14. YoungCorporate

    Je ni kweli GPA Kubwa iliniponza!! Nimechemsha au!!

    Brother, najaribu kujiweka kwenye shoes zako.....nahisi kimsingi hujasomea kitu unachokipenda bali ni yale mambo ya nafasi za uchina/asia na eastern europe.....mwisho wa siku unamaliza unagundua hiyo elimu kwako sio mafanikio....lakini yaliyopita si ndwele.......chakufanya hapo ni kuitumia hiyo...
Back
Top Bottom