Kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye I am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,
Kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, I like experienced ladies in a short term relation