Mteja wa hizi hela za kale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mteja wa hizi hela za kale

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1975, Sep 7, 2012.

 1. 1

  1975 Senior Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna mutu anaweza kujua soko la Hela za FUFTH MARK,QUEEN ELIZABETH SH5 YENYE TOBO KATIKATI,RUPIA
   
 2. J

  Jichokuu Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nicheck kwenye namba hii fasta tulonge 0719081205
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nitafute PM tuchonge kma unaztaka rupia nnazo nyingi uje kuwauzia JF!!lolz:baby:
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hakuna deal yoyote kwenye hizo fedha ni utapeli tu hapo
   
 5. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Wakuu,huo ni utapeli ninaujua vizuri.Mtu anakuwa nazo izo Rupia kadhaa,hela yenye simba,yenye tobo,pasi ya mjerumani etc kisha anafanya matangazo ya kutosha kuwa izo fedha zinatakiwa maala kwa gharama kubwa,habari inaenea bila chanzo kujulikana,wenye tamaa ya utajiri wa haraka haraka wanaanza kuzitafuta hizo hela,yule Tapeli anaanza kuzitoa kidogo kidogo kutumia ma ajenti,watu wanazichangamkia ,zinazunguka na kununuliwa na watu bila kujua anaye zihitaji hasa ni nani,biashara ya mzunguko inaendelea kwa muda mrefu tu,tapeli anzidi kutoa hizo hela au pasi hiyo ya Mjerumani,mwisho wa siku kuna mtu au watu wachache wanajikuta hizo hela zimehamia kwao na anyezitaka hawamjui na mzunguko umeisha,kama ni wajanja watakaa nazo kwa muda fulani watu wasahau kisha nao wanaanzisha mzunguko na maisha yanaendelea na anashikishwa mtu mwingine.LAKINI KIMSINGI IZO HELA AU PASI HAZINA THAMANI YOYOTE NA HAKUNA ANAYEZIHITAJI.Mwenye masikio amesikia.
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  nukta. Sina la ziada na wakumbuke shilingi moja ya mwinyi ilivyovuma kutafutwa.
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Peleka kwa Maji Marefu.
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,139
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Alaa Kumbe! Kuna Rafiki yangu aliniamia nikisikia au nikizipata nimstue Fasta kwani anajua Soko lake na watu anao From Europe Duh! me nikaona nitazipate hizi! niwe Billionea
   
 9. n

  nayanda Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa babu yangu anazo kibao mpaka kufuli la 999 na nyie mnasema utapeli nilijua akiuza angeninunulia bugat loh me kuhemwa tu


  nayanda.
   
 10. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Biashara halisi ambayo inafuata mifumo ya kiuchumi ni ile inayozingatia mabadilishano ya bidhaa (exchange of products). Hivyo biashara kama za hisa/bonds/future/derivatives ni mfani ya uchumi usio halisi kwa sababu haumbatani na mabadilishano ya bidhaa bali ni makaratasi na fedha. Uchumi wa aina hii ni rahisi sana kuvunjika (rejea athari za recession na sasa Eurozone crisis). Kwa mfano masoko ya fedha ya magharibi watu hufanya biashara na kupata fedha bila kuhusisha bidhaa shikika (tangible goods).

  Hivyo kimantiki biashara hii ya kununua sarafu haina manufaa kiuchumi inategemea zaidi mshawasha na upashanaji habari wa wahitaji bila kujua kama hizo sarafu zina maan aama thamani yeyote kama bidhaa......kwa ufupi ni vitu visivyokuwa na msingi wala thamani kwa sababu haziko katika kundi la thamani za kale (antiquities)...hivyo biashara haina maana....wala thamani ya fedha (value for money)
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Wamakonde washa tengenezea ndonya.
  Kajipange upya Sudan Kusini ni taifa changa, huenda utazikuta
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Ile ilitengenezwa kwa silva. Masonara ndo walikuwa wakiinunua. Bot waliposhituka jamaa wakawa wamepga bingo. Kama leo una shilinghi ya Mwinyi ya mwaka 1986 ambayo hainaswi na sumaku bado inauzika
   
Loading...