Recent content by Yombo vituka

  1. Y

    Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Mbowe ni shujaa wa kizazi hiki,kama ni mchumia tumbo au ni mtu asiye na lolote kwa nini mnahangaika naye kwa kiasi hicho,mnafahamu muziki wake ndiyo maana hamlali,majukwaa ya siasa yamewekwa ya nini,mbona polisi wanatumika kwa kiwango hicho wakati wana majukumu yake tena mengi tu
  2. Y

    CCM na Giza la Kisiasa Jimbo la Iringa Mjini

    Kwani Mbunge Msigwa ni raia wa nchi gani,na akiwa Mbunge anawakilisha nani,tunaacha kufanya mambo ya maendeleo na ya muhumu tunang'ang'ana na siasa majitaka,hutusogei popote ng'o
  3. Y

    Ina maana sisi ni wabobezi wa propaganda?

    Kwani 2015 mpango wa Mungu si alikuwepo?,nini kilitokea wote mashuhuda,siasa maji taka za nchi yetu ndiyo maana kila baada ya uchaguzi mkuu nchi inakuwa kama imezaliwa upya,kumbe tuna miaka zaidi ya nusu karne baada ya kupata uhuru,angalia thamani ya shilingi ya Uganda na yetu kwa sasa...
  4. Y

    Tetesi: Kenya yafuzu kushiriki kwenye kombe la mataifa ya Afrika (Afcon)

    Hongera sana Wakenya kwa hatua mliyopiga,sisi Watanzania hatujui tufanye lipi tuache lipi,wachezaji hawajitambui,tuna gundu limetuganda,tunawatakia kila la heri mtuwakilishe vyema (E.A.)
  5. Y

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    Tukikumbushana tu,uchaguzi wa 2015 kulikuwepo na kauli kutoka watu wa ccm kuwa wakichaguliwa vyama vya upinzani watalipa kisasi kwa waliyokuwa wamefanyiwa,hivyo walitumia nguvu nyingi mno ili wao watangazwe washindi,na ndivyo ilivyotokea,kumbe wanayafanya mambo mengine kuumiza washindani...
  6. Y

    Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Sisi Wabongo tunanyongana wenyewe kwa wenyewe,wenye mali wako na shughuli zao,niwakumbushe labda,niliwahi kufanya kazi kampuni moja ilikuwa chini ya uongozi wa Wahindi walioianzisha kama wataalam,alikuwepo ofisa utumishi Mtanzania mwenzetu,kila akiulizwa ushauri wake kuongezea watumishi...
  7. Y

    Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    Haya yameandikwa kwenye Biblia kwa uwazi kabisa,"wanafunzi wa Bwana Yesu walimuuliza mwanadamu afanye nini ili aweze kuingia mbinguni,Bwana Yesu akawajibu,(ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mwanadamu kuingia ufalme wa Mungu,wakamuuliza kwa hali hiyo je ni nani...
  8. Y

    Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

    Hata methali za kawaida kabisa zinatufundisha kuwa tuwe na kiasi,ukiwa mtu wa kiburi,kulewa sifa kwa kujiona u mtu bora kuliko wengine mwishoni ni kujikuta uko shimoni na wakukutoa humo hayupo,wote ulishawadharau nao wamejiweka mbali na wewe,"analo hilo"
  9. Y

    Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

    Siku zote huwa nasema kuna watu ukiendekeza wanayoyafanya kuna siku watafanya utumbo ambao dunia itawashangaa,huyu mama kuna nyakati najiuliza ana mchango gani chanya kwenye jamii hata kupewa nafasi kwenye matangazo na vyombo vya habari kwa kiwango tunachoshuhudia,matokeo ya huu uendekezaji wetu...
  10. Y

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Katika nchi zote kweli hii ni kiboko ya zote kwa vyote,Mungu anatuona lakini,haya ndiyo yangu machache
  11. Y

    Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

    Turudi kwenye mada,nyie msiokuwa wenzetu mnapenda sana kupindisha na kutengeneza mazingira kutoka jambo lenye mantiki kuwa jambo lisilo na mantiki,Zito kazungumza vizuri na wazi kabisa,ya uchawi na ushirikina na (marehemu mzazi wake) yanatoka wapi,songa mbele Zito tupo pamoja
  12. Y

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kusaidia Polisi hapaTZ na Afrika ni kujitakia msiba,waulize walioelezwa kuwa wanaisaidia Polisi ni usaidizi gani walioutoa,pia tujikumbushe haya yote yalivyoanza na aliyeyaanzisha
  13. Y

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Hii hali tumeilete na kuilea wenyewe Watanzania,nasena hivyo kwa sababu utekaji haukuanza leo na kwa watu wa kaliba ya MO,wanasiasa na "wasiokuwa upande wao" wamehujumiwa sana,wengine wameuawa wengine wamepotezwa lakini hatua hazikuchukuliwa,sasa imefika kwa "mwenzao" wameshtuka,wamesahau kuwa...
  14. Y

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Hawa "mercenaries"ni wachumia tumbo hawajali madhila na shida wapiga kura tunazopitia,wameahidiwa kulipiwa madeni yao au kuwezeshwa kwenye maeneo fulani,uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho,wanaomba wasaidiwe kufikiri na haya ndiyo majibu waliyopewa,miaka ya j.k. nchi ilitafunwa kisawasawa na...
Back
Top Bottom