Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,807
- 128,829
SHUSHA HASIRA MKUU
Huyo peasant kajichanganya na mm imebidi nimwagie ndimu ya jicho kwanza ili atie akili.
SHUSHA HASIRA MKUU
Hiyo ishasahauliwa kitambo mwendo wa kuwageuzageuza watu km chapati.Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ~~~ Lema
Kada na mbunge wa chadema mwenye akili za kike. Haya tukana.....
Matusi laini kabisa haya.....wala hayanitingishi....sijaona ncha kali yoyote hapo........We peasant weka hicho kipago chini kwa kutulia, kama Zitto angekuona mtamu kama unavyofikiria angekukabidhi log book ya kuja kupinpoint wanaomtaja humu? kama unamshobokea mshobokee kimpango wako. Na ukiona mabasha wa mtaani kwenu wamekupotezea kwa kukosa utamu, usilazimishe mabasha kinguvu huku jf. Sio kila mtu anahitaji hiyo huduma ya jicho.
Mbona hiyo ndimu ya jicho siioni! Kwa vitusi uchwara ulivyovielekeza kwenye anonymous ID....Huyo peasant kajichanganya na mm imebidi nimwagie ndimu ya jicho kwanza ili atie akili.
''Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa,sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana,lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE. ''
utkuwa umetumwa na bashite au na lugola au sirro, au hata pengine na kichaa, tunamupa lema kura tena hapo 2020Jimbo la Lema lipo Arusha lakini mda wote siku zote yeye anakula hela za ruzuku dar huku wananchi wa Arusha wakikaa bila kuwa na mbunge
2o2o Lema katafute kazi nyingine ye kufanya
Mbona hiyo ndimu ya jicho siioni! Kwa vitusi uchwara ulivyovielekeza kwenye anonymous ID....
Aende na watu asiende Mwenyewe, hachelewi kukutana na magari ya Nchi za nje kutoka maktaba
Jimbo la Lema lipo Arusha lakini mda wote siku zote yeye anakula hela za ruzuku dar huku wananchi wa Arusha wakikaa bila kuwa na mbunge
2o2o Lema katafute kazi nyingine ye kufanya
mPM Zitto aje aone kama bado unafanya kazi aliyokutuma ya kumtetea au umebaki kuuza face. Siku nyingine hutokaa ulete uduwanzi humu ndani. Nimeshakupotezesha network naona huna jipya. Heshima itachukua mkondo wake kuanzia leo. Hii id utaiona kama uchi wa mamio, mshamba mkubwa.