Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

KOFI OLOMIDE designe. Ndevu zitatoka nyeupee. Huo ndo utawala wa sheria. unadanganya upo SA unaumwa kumbe upo ubeleji unapiga umbea.
Mngajua kesho yenu msingeandika haya. Hujawahi kuwa ccm kuliko Lowassa au sumaye wanaokula asilimia 80 ya mshahara wa majaliwa. Unakumbuka walivyoutenda upinzani? Leo wako wapi pamoja na ID yako fake unajifanya kushangilia ukatili unaofanywa na usiokuwa na tija yeyote. Kila unachokifanya kina matokeo ya kesho yako.
 
Hao mnaowaabudu huko USA na EU ndio waliomwambia Mbowe akiuke

Not worshiping the EU or USA as much as bracing for the pitfalls of dependency. We live and die by foreign aid and sustenance, along with decent levels of tourism, all of which hinge on good name and behavior as judged by the West. We can not afford to be blackballed by the international community the way Tehran, Peaking, Moscow, or Tel-Aviv can muster when they show the world the finger as they make domestic decisions.

State House will need astronomical levels of foreign grants to fund its flagship projects, the Stieglers Hydropower, modern railway, Dar-es-Salaam fly-overs, and the massive cash subsidies needed to keep Air Tanzania's new aircraft in the sky.

Imprisoning political foes and cracking down on dissent, press, speech and businessmen will hamstring the president's emissaries as they do the rounds in world capitals begging for money.
 
Kuna kesi nyingi za muhimu sijui kwanini DPP ana deal na kesi zisizo na mashiko wakati watuhumiwa halali wa mauaji wamefutiwa kesi kwa kukosekana ushahidi.

Tatizo la Africa hasa ni kukosa ufahamu, mambo ya Africa yanatia huzuni kubwa, ni kwanini Africa inapambana na wapinzani ambao sheria mama ya nchi inaitambua tena kwa kutumia gharama kubwa itokanayo na jasho la wananchi.

Isitoshe msomi wa level kubwa kabisa naye anaunga mkono mambo yasiyo na manufaa kwa maendeleo ya nchi ni nini hasa tatizo la Africa maana tukisema elimu bado wapo wasomi unaona ni bure kabisa sihitaji kuwataja including man of the show himself.

Hivi madaraka haya ni nini hasa mpaka mtu unakuta ana kila kitu kihusianacho na mali lakini ole wako umpinge kwa maendeleo ya nchi anataka akuondoe kabisa duniani.

Elimu elimu elimu ....................................kwa zaidi ya asilimia 80 ya wananchi ndio siku Africa itabadilika lakini kwa hali ya 40% kuwa under poverty line mabadiliko hayatakuwepo kwasababu SILAHA KUBWA YA WATAWALA WAPENDA MADARAKA NI WAJINGA NA MASIKINI.

Mola tuokoe Africa.
 
Muda wa maigizo nadhani sasa utaisha.

Wapinzani wanahitaji sasa wajue nini cha kufanya huyu si yule aliyekuwa anawatuliza na juice.
Mfanya biashara mwanasiasa ni nadra sana kuimalika kisiasa ndani ya uongoz dizain hii vinginevyo usiwe tapeli na mwongo mwongo na mwenye dharau.

Ni muda sasa wa wapinzani kuwapa darasa wananchi wapi tunanyonywa na utawala kwa kifungu kwa kifungu cha katiba na she ria.
Wala haina haja yakutumia nguvu na dharau kwa utawala wananchi wakipata elimu tu hakuna Jeshi litakalo simamisha nguvu ya umma inachotaka.
 
Mboye akiwa gerezani wewe inakusaidia nini au utazidishiwa nini katika maisha yako? usipende kufurahia mabaya yanayomfika mwenzako hata kama alikusudia kutotii amri ya mahakama, tambua kwamba katika Dunia hakuna aliyekamilika hautakiwi kumchukia mtu kwa kuwa itikadi yake na yako hazifanani.
Hakuna mabaya yaliyomkuta mbowe na matiko.walichokipata ni kile walichostahili. Wewe ulitaka wafanyaje??!! Wapigiwe vigeregere na kuimbiwa mapambio,kw kitendo chao cha kuruka dhamana au kukiuka masharti ya dhamana?! Hv hizi sheria ni kw ajr ya akina nani tu.watanzania tuache upoyoyo.sheria ni msumeno.na hiyo ndio maana ake.
 
Labda hunielewi mkuu.
Nasema hivi kama mbowe amefanya makosa basi anastahili adhabu, pili nasema hivi mahakama inastahili kuchukua hatua bila kutazama chama wala sura ya mtu. Jiwe anavuruga mambo mengi sana lakini mahakama inakaa kimya, hebu mahakama ionyeshe makucha yake kama ilivyonesha kwa mbowe, sisi sote ni watanzania tusibaguane.

Jiwe anafanya mambo ya ajabu ajabu na mahakama inaywea, taasisi zingine zinanywea hii sio sawa, Trump mwenyewe anakemewa na mahakama akienda against kwanini jiwe asikemewe?

Democracy maana yake ni kutompendelea mtu, kutombagua mtu n.k
Nenda nawewe ukawashtaki hao wanaovunja katiba.ili mahakama ichukue hatua.
 
Si kila mshitakiwa au mfungwa ni muhalifu. Hata Akwilina aliuawa na damu yake ipo inalilia haki yake ya kuishi iliyokatizwa. Mungu atalipa haki za wote bila upendeleo.
 
Natamani ningekuwa bwana jela wa gereza analopelekwa Esta matiko hakika ningemweka sehemu salama zaidi na angekula vizuri kabisa.ilaaa........
 
Kwahiyo maagizo kutoka juu ndo yaliyomfanya Mbowe kuidharau Mahakama kutoa taarifa za uongo au?
Maagizo kutoka juu!!

Kinachofuata ni kuwafunga!!

Nitaunganana na wanaoitwa mabeberu kuliko hawa watu wenye roho za aina hii!

Waliosababisha maandamano kwa kutotimiza wajibu wao wako maofisini, na waliofyatua risasi na kuua, kesi wamefutiwa!!

Better were colonial days!
 
Nadhani hii ndiyo aina ya mwisho kabisa ya matumizi makubwa ya utawala usiheshimu watu wenye mitazamo mbadala. Tusihuzunike sana hakika jambo hili linakwenda Kufungua milango ya #HAKI.
Mngemshauri aache uhuni aheshimu masharti ya dhamana.
 
Mpaka kesi iishe ni leo
FB_IMG_15148250000273316.jpeg
 
Inzi wa kijani wewe kama ni chanzo tuanze na huyu mpumbavu aliyezuia form za mawakala kwanza, mbona unaangalia upande mmoja tu?
inzi mwekundu wewe huyo aliyezuia form alikuwa na sababu siyo mjinga afanye kitu bila sababu nyie majuha ndiyo mkaamua kuleta shida mpakamkamwaga damu ya mtoto
 
Tukikumbushana tu,uchaguzi wa 2015 kulikuwepo na kauli kutoka watu wa ccm kuwa wakichaguliwa vyama vya upinzani watalipa kisasi kwa waliyokuwa wamefanyiwa,hivyo walitumia nguvu nyingi mno ili wao watangazwe washindi,na ndivyo ilivyotokea,kumbe wanayafanya mambo mengine kuumiza washindani wao,ikifika wakati wa uchaguzi wanaanza kujiuliza yale waliyowafanyia pindi wakitupwa nje nao watafanyiwa,kwa nini tusichukuliane kama watu wamoja ili kupunguza au kuondoa chuki na inda kati yetu wenye nchi,tushindane kwa hoja kama wenzetu watu weupe,"tusimpe ibilisi nafasi",neno la Mungu kwenye Biblia limesema
 
Hii ilikuwa janjajanja ya Mkuya kumpotosha Mbowe waende kula bata Ulaya ili akirudi afungwe na mahakama hivyo kupelekea kuachia uenyekiti wa Chama.

Tangu enzi za kina Samson na Delila , Adam na Hawa ,mwanamke ana guvu nyingi za kuangusha mibuyu iliyishindikana..

Mbuyu walioushindwa akina Zito, Mwigamba ,Waitara hatimaye umeng'olewa na Mkuya !!
Mbwa koko utawajuwa wamezaliwa kwenye vibanda pamoja na kuku kuanza kulindwa na ffu unashangaa unaleta ungese wa kijinga endelea kufukuliwa na GSM huku wachina wakikupa mvegu mtoto mshamba mkubwa
 
Back
Top Bottom