Yombo vituka
Member
- Oct 25, 2017
- 70
- 31
Kwani 2015 mpango wa Mungu si alikuwepo?,nini kilitokea wote mashuhuda,siasa maji taka za nchi yetu ndiyo maana kila baada ya uchaguzi mkuu nchi inakuwa kama imezaliwa upya,kumbe tuna miaka zaidi ya nusu karne baada ya kupata uhuru,angalia thamani ya shilingi ya Uganda na yetu kwa sasa tumekaribia kulingana,wakati huko tulikotoka shilingi ya kwetu ilikuwa na nguvu mara mbili ya Uganda,fedha inayoelekezwa kwenye siasa siku zote huhesabiwa kuwa imepotea,haizalishi,(ni ya kuliwa bila maelezo),ndio mtindo wetu kwa sasa politiki