Recent content by Yoel eliud

  1. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu jina la hii movie anisaidie

  2. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

    Hiyo ngoma mbn inagongwa maeneo mengi, au ni kwetu tuu
  3. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais wa Falme za Kiarabu

    Hawa ndo wako fresh sasa, yani kiongozi wamemzika kama msela tu hawakutaka hata wali☺️
  4. Yoel eliud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muwe mnaacha dharau mabinti

    Tayari😂😂😂
  5. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Putin Maji Shingoni, Alia na Mataifa ya Magharibi

    C ana mshkaji wake yule naniliu anae penda mazali kama hayo, au hataki kumshilikisha
  6. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Unasemaaa🦻👂
  7. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
  8. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Simu leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee

    Wazee I.T naombeni msaada wenu, Simu yangu ina support 4G lite na nimeitumia kwa mda mrefu na huu ni mwezi wa tatu natumia 4G, ila sasa leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee nimejaribu kuset ninavo weza imegoma hadi nime restore lakini wapi nimejaribu hata ku frash bado...
  9. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    😆😆
  10. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Bora umenisaidia maana me nilikuwa nimemua kumuacha tu
  11. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Yani umenifumbua macho bana kumbe iliingia me bila kujua baada ya kusema ww ndo nimeangalia nikaikuta, aisee ni shida
  12. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Hata mimi ndo nasubili sa iishe niendelee
  13. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

    Yani me hadi wamenizuia kuingiza vocha kisa nimejaribu mara nyingi
Back
Top Bottom