Sio TAMADUNI bali SHERIA ZA DINI YA KIISLAM, DUNIA NZIMA, AU UKIFA USICHELEWESHWE KUZIKWA, LABDA ITOKEE DHARULA.Taratibu za mazishi ni suala la kitamaduni, kila tamaduni zina mifumo yao tofauti na jamii nyingine. Hata sisi waafrika ondoa tamaduni za hao waliotuletea dini na sisi kwa umaandazi wetu tumeacha ile mifumo ya makabila na koo zetu tunaiga koo za waarabu na wazungu. Mazishi hayakufikishi/ kutokufikisha mbinguni kama uliishi kwa matendo mema wewe ni wa.mbinguni tuu bila kujali umezikwa kichwa kinaangalia wapi au uliliwa na mamba. Kama ulikuwa ni mmoja wa wauaji kama wale waliomchoma moto binti wa watu huko Nigeria wewe ni wa motoni tuu bila kujali umezikwa vipi
Inalillah wainailaih rajiuunWamanhayata dunia illa mat'ahal'ghurul (Hakika hakuna maisha duniani bali ni starehe za mda mfupi tu zenye kupita)
Na kifo ni ibada tosha kwa wale wanaoamini
Sio TAMADUNI bali SHERIA ZA DINI YA KIISLAM, DUNIA NZIMA, AU UKIFA USICHELEWESHWE KUZIKWA, LABDA ITOKEE DHARULA.
Tamaduni zina utofauti kati ya jamii moja na nyingine.HAZKUNA UBISHI KUWA WAISLAM WANEIGA TAMADUNI ZA KIRARABU
TAMADUNI HUWASILISHWA NA VITU VIFUATAVYO
Lugha........mmeiga lugha ya kiarabu
Mavazi....... mmeiga mavazi ya kiatabu
Chakula.......mmeiga vyakula vya kiarabu
Sheria za kijadi.....mnafuata za kiarabu
Ngoma za kiasili.....mmeiga ngoma za kiarabu , madudufu mnayopiga kwenye qaswida ni ngoma za jadi za waarabu, na muziki wa taarabu nao ni wao
Mifumo ya kimaisha, shetehe na maziko nayo mmeiga ya waarabu kwani huku bongo kila kabila lina jadi yake ya mazishi, kuna wanaozikwa na ngozi, kuna machifu wanazikwa wamekalia vigoda nk
Sio UTAMADUNI ni SHERIA ZA DINI YA KIISLAM.Utamaduni wao upo hivyo.
Kwani sheria za dini ya kiislamu sio sehemu ya utamaduni wao?Sio UTAMADUNI ni SHERIA ZA DINI YA KIISLAM.
Utamaduni wa eneo moja lazima utofautiane na wa eneo jingine. Huko Uarabuni kuna nchi kibao na ziko mbalimbali si Rahisi kufanana Tamaduni ikiwa hapa TZ tu hatufanani tamaduni baina ya makabila.
Aisee hadi kwa huyu mkubwa naye wamemuharakisha hivi?
Hawa ndo wako fresh sasa, yani kiongozi wamemzika kama msela tu hawakutaka hata wali
Huyo kiongozi amezikwa kwa mujibu wa dini yake ya Uislamu. Dini inapokuja huwa inatengeneza na kuondoa tamaduni mbaya, na zile tamaduni nzuri huziendeleza.Taratibu za mazishi ni suala la kitamaduni, kila tamaduni zina mifumo yao tofauti na jamii nyingine. Hata sisi waafrika ondoa tamaduni za hao waliotuletea dini na sisi kwa umaandazi wetu tumeacha ile mifumo ya makabila na koo zetu tunaiga koo za waarabu na wazungu. Mazishi hayakufikishi/ kutokufikisha mbinguni kama uliishi kwa matendo mema wewe ni wa.mbinguni tuu bila kujali umezikwa kichwa kinaangalia wapi au uliliwa na mamba. Kama ulikuwa ni mmoja wa wauaji kama wale waliomchoma moto binti wa watu huko Nigeria wewe ni wa motoni tuu bila kujali umezikwa vipi
Siyo sehemu katika Tamaduni. Kadhalika jifunze maana ya maneno kama vile Tamaduni, Mila,ada na desturi ukijua maana za haya maneno hutaandika tena hiki ulicho kiandika.Kwani sheria za dini ya kiislamu sio sehemu ya utamaduni wao?
Sio utamaduni ni SHERIA.Kwani sheria za dini ya kiislamu sio sehemu ya utamaduni wao?
Kujengea sio DHAMBI, ila inashauriwa yasijengewe ili kuweza kupata eneo la kuzika watu wengine.Huyo kiongozi amezikwa kwa mujibu wa dini yake ya Uislamu. Dini inapokuja huwa inatengeneza na kuondoa tamaduni mbaya, na zile tamaduni nzuri huziendeleza.
Hivi ndivyo Waislamu wote hupaswa kuzikwa popote walipo haijalishi Mzaramu au Mqureishi na wasio kuwa wao, japo wapo baadhi ya Waislamu (MASUFI) wezua mambo ambayo mtume hajafundisha wao hujengea makaburi,kujengea makaburi katika Uislamu ni haramu na ni madhambi.
HAZKUNA UBISHI KUWA WAISLAM WANEIGA TAMADUNI ZA KIRARABU
TAMADUNI HUWASILISHWA NA VITU VIFUATAVYO
♦️ Lugha........mmeiga lugha ya kiarabu
♦️ Mavazi....... mmeiga mavazi ya kiatabu
♦️ Chakula.......mmeiga vyakula vya kiarabu
♦️ Sheria za kijadi.....mnafuata za kiarabu
♦️ Ngoma za kiasili.....mmeiga ngoma za kiarabu , madudufu mnayopiga kwenye qaswida ni ngoma za jadi za waarabu, na muziki wa taarabu nao ni wao
♦️Mifumo ya kimaisha, shetehe na maziko nayo mmeiga ya waarabu kwani huku bongo kila kabila lina jadi yake ya mazishi, kuna wanaozikwa na ngozi, kuna machifu wanazikwa wamekalia vigoda nk
Sema ndio hivyo kwasababu ni mtu mkubwa bila shaka amefanyiwa vipimo vyote na kuhakikisha amekufa kweliRejea mfalme Quubus wa Kuwait na yule mfalme wa Saudi Arabia, baba yake Mudi bin Suleiman.
Mapema tu hawakufika hata masaa 12 wakawa washazikwa