Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

Yoel eliud

Member
Nov 11, 2017
28
12
Jamani mtandao wa Airtel umekuwa tatizo kwa watumiaje hasa kwenye suala la huduma,

Yaani sijui wanakwama wapi mtumiaji unakuta ninatizo na nahitaji msadaa wa customer care napiga 100 kama kawaida lakini unaskiliza tu maelezo ya computer na kuku bonyezesha mi namba baada ya hapo wanakata simu sasa sijui wanakuwa wanataka msaada niupate wapi?

INABIDI WATUAMBIE SEHEMU YA KUPATA MSAADA
 
Yani hapa nimenunua vocha ila nikiingiza inakataa na hili tatizo sio mara moja kutokea hivi.
 
Airtel ni majanga hasa, vifurushi vyao ni Rafiki sana, nawapongeza kwa hilo but ukweli hawana customer care kabisa kulinganisha na VODA, niwahama VODA baada ya wao kua wanakata PESA zangu bila sababu za msingi ingawa wale mabinti wa customer care wanaongea vizuri kweli,

hata kama ume paniki vipi still watakufurahisha but niliamua kuachana na VODA, Airtel network ya internet inasumbua mno na ukiwapigia customer care ndio kama ulivyo sema, badirikeni aise, kwanza tuna share mjue na nyie
 
vifurushi vyao ni rafiki bt huduma sasa ni yakipumbafu sijapata kuona, kama uendeshaji umewashinda fungeni kampuni
 
Mie sasa hivi nimeangalia salio nakuta kumbe vocha imeingia kimyakimya ila nilivyokuwa naweka inakataa, yani majanga.
Yani umenifumbua macho bana kumbe iliingia me bila kujua baada ya kusema ww ndo nimeangalia nikaikuta, aisee ni shida
 
Dooh tatizo limenikuta pia, naingiza vocha inagoma nimeingiza zaidi ya mara 10 ila nimeenda kujiunga imekubali kumbe vocha ishaingia kitambo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom