Simu leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee

Yoel elelid

Member
Nov 11, 2017
22
45
Wazee I.T naombeni msaada wenu,

Simu yangu ina support 4G lite na nimeitumia kwa mda mrefu na huu ni mwezi wa tatu natumia 4G, ila sasa leo ni wiki 4G haipandi wala 3G inayo panda sasa ni 2G pekee nimejaribu kuset ninavo weza imegoma hadi nime restore lakini wapi nimejaribu hata ku frash bado imeshindikana.

Naomba kujua nitatizo gani hili au nifanyeje ili 4G ipande tena, naombeni mnisaidie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom