Behat
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 602
- 2,179
...Wewe Wasema!...Tigo ni chafu kuliko period
...Huston, We have a Problem!...Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu
Komaa naye mpaka period iishe ila atakutoboa mfukoUnatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu

HahahaUnakuta ni wale period inakaa siku 7+ na amekuja yupo siku ya kwanza
Ni zaidi ya machungu
Mmmmmmh
Inauma sana hasa upewe taarifa ya kuwa safari imeahirishwa na wakati ulijiandaa kiroho na kimwili piaHapo hamna dharau hata, nikajua ametuma nauli imeliwa.
Huyo dada itakuwa P imemuanza njiani, ingeanza before safari nauli ingeliwa![]()

Unatumiwa nauli unatoka Dom mpka dar afu unakuja upo period afu husem kama upo period
Kwann usisubir period iishe ndyo uombe nauli uje
Tukila tigo mnaanza kutulaumu

MmmmmhSiku hizi wanatabia ya kuvaa Pedi Kis*nge sana, kuna Demu niliomba tuonane ooh njoo unifate tupo njian akasema ujue naumwa moyoni nikasema acha uboya mafuta yangu utalipa.. tumefika getho bado akaludia kauli Ile naumwa.. nikamwambia "pole Sana via nguo basi" akagoma goma Mwisho kavua eeh kuja kushika pichu Mtoto mkavu Hana ata period nilimind Sana
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app