Recent content by ynnobygger

  1. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa BMW Shikamooni

    Sisi wa Vits tunacoment wap? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Hujuma: Kituo cha afya Makole (Makole health center)

    Hizi hospitali za serikali ni vichekesho kweli saa nyingine kuna moja nilienda kuhudumiwa meno nakutana na mlinzi mlangoni ndiyo mtu wa kwanza kukukaribiaha hata salamu hamna lete risiti ukitoka uko ndan anakufungua na mdomo kuhakikisha kama hujang’oa ni hospitali ya mkoa wa kilimanjaro hata...
  3. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Naombeni movie ya aina hii

    innocent dependent, Tafuta angalau hata birdbox Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Mm ningeshauri mjitenge na upendeleo wa kisiasa vyama vyote ni vya tanzania mjitoe kwenye biasness ya uccm TBC ni ya watanzania wote na si ya Chama kingine mpende kuutangaza ukweli hata kama haumfuraishi mtukufu flani la mwisho ni muwe na utaratibu wa kuweka records na kuzifuatilia especially za...
  5. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mastercard zenu mbona zinazingua kufanyia online payement? Nimejazishwa fomu zaidi ya mara tatu lkn hakuna jipya
  6. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi hili swala la umeme kuingia moja kwa moja ukishaulipia kama ilivo kwenye ving'amuzi limewashinda kabisa ama ndo mnaamua tutembee na remote kutafuta network?
  7. ynnobygger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimwambia sina kazi sina pesa, akasema sawa "we nioe tu"

    Ungekutana naye enzi hizo za namba yangu kakupa nani ndo ungeelewa kwann bajaji hazina condakta!!
  8. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania TANZIA: DCP Aziz Juma, amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake Kibweni Zanzibar

    Ila ukisikiliza kisa hiki kuna walakini Maana wa kujinyonga mara nyingi haiwagi hivi (1)uage na kanzu kabisa kuna m2 naenda kumwona nje (2)No death note
  9. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Moshi hakuna umeme anzia asubuhi

    Tannesco tafadhali tujulisheni ni mgao umerudi tena ama?
  10. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Askari watwangana hadharani

    Ingekuwa mkoani huku kama Arusha hivi watu tungekuwa tunasubiri CD ya pili ya hiyo movie
  11. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Dr Mpoki Ulisubisya awa balozi wa Tanzania nchini Canada

    Hivi Dr.Silaa ni Balozi Nchi gan?
  12. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

    Mords naombeni muifute hii news kwa sababu mtoa news ametumia picha ya mtu ambaye ni mtoto wa wa tumishi wa Mungu na mm ni miongoni mwa ndg zake hatujapendezwa na kitendo hicho hivyo tafadhali naomba ifutwe haraka iwezekanavyo hii news na picha ya mdogo wetu vinginevyo tutawaripoti kunakohusika.
  13. ynnobygger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilidhani ni story kumbe Kweli

    Ni wivu tu!
  14. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Kwan kinachowatenganisha c ni kifo kama mmojawapo akitangulia mbele za haki je!
  15. ynnobygger

    JamiiForums Tanzania Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

    Tofauti iko hivi yy alikuwa anasimamia upande wa money is beter than education na nyie mlikuwa mnatetea upande wa education is beter than money hivyo basi hamtokaa mkakutana
Back
Top Bottom