Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa????
Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua...
Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi mingi ikitumia jina lake mfano ni ile TV Show yake ya Wema In My Shoes, Lipstick za Kiss By Wema...
Kama ni kweli basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua alichokisema???? Utashangaa sana hebu mskie mwenyewe kwenye video hii.....
Ikitangazwa shindano la Lulu Husband Search naamini vijana wengi wa kiume watajitokeza kuwania nafasi hiyo moja. Lulu ni mmoja kati ya wadada warembo zaidi hapa Bongo na wanaojua vizuri kuvaa viwalo na wakapendeza.
Ni wengi wanatamani kua wapenzi wa Lulu ila kama utabahatika kua mpenzi wa Lulu...
Wengi wanamjua Nay Wa Mitego kwa kutoa nyimbo nyingi sana zikiwa za utata, mara nyingi hua anawachana watu maarufu bila kuwaogopa au ujumbe ndani ya nyimbo kua na utata. Haya basi katika pitapita zetu tumepata kionjo cha wimbo wake mpya ambao bado haijajulikana hasa utatoka lini.
Wimbo huo...
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video alipoulizwa na shabiki yake ni lini atafunga ndoa na Idriss. Na Wema Sepetu alifunguka hivi.......
Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine...
Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za gharama.
Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu sana ila...
Kiki ndio kila kitu hapa mjini, wasanii na watu wengi hapa Bongo wamekua maarufu kutokana na Kiki au Skendo zinazosambazwa kuwahusu wao. Wapo waliofanikiwa hadi maisha yao kua mazuri kutokana na kiki au skendo wanazojizushia ili wajulikane na watu.
Sasa kutokana na watu kuhitaji kiki basi...
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond anatoka na msichana huyo Toka Mwaka jana.
Sasa huko instagram kumekua...
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu magazetini hata mitandaoni huku wasanii wengi wakipingana na maamuzi yake.
Itakumbukwa pia kua...
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC FM akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana ikiwemo kuvuja kwa wimbo wake, video ya wimbo huo wa Aje pamoja na dili lake la Sony.
Ikafika...
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini baada ya mazoezi mengi kwa sasa yupo vizuri.
Siku chache zilizopita msanii Ali Kiba alikubali kua...
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake 3 ambazo zimekua zikihusishwa na mambo ya Freemason.
Sasa Nay Wa Mitego kaamua kutuonyesha na...
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya utapeli ambao wahathirika wakubwa ni watu wanaotoa huduma za Mpesa na Tigo Pesa.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.