Wema Sepetu akubali ndoa na Idris, asema haya kuhusu ndoa yao itavyokua

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video alipoulizwa na shabiki yake ni lini atafunga ndoa na Idriss. Na Wema Sepetu alifunguka hivi.......
 
Akidumu kwenye ndoa miezi mitatu natembea uchi siku nzima. Akishaolewa na miezi mitatu ikipita akiwa kwenye ndoa mnishtue!
 
Halafu na binti huyu anapenda sana media attention!! asipoandikwa siku mbili tu lazima azue ka kituko ili atamkwe !!! mwe!!
na sijui kwanini hawezi kuzitumia hizo attention kama fursa ya kutumia jina lake kutengeneza mkwanja. Yani bongo ni shida tupu nadhani ndo nchi inayotoa wasanii maarufu zaidi afu mafukara
 
hajifunzi kwa akina bekham, Posh! Jordan , ile kuonekana tu ama news kwenye gazeti ujue kavuta
 
Mama yake amemkubalia kuolewa na Idrisa? maana mama ndie anaamua nani aoe mwanae alimkataa Jumbe akamkataa Diamond pia, asije tanngaza ndoa mama nae aibuke kuipinga kama kawaida yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom