Video: Wema Sepetu ajitabiria kifo

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi mingi ikitumia jina lake mfano ni ile TV Show yake ya Wema In My Shoes, Lipstick za Kiss By Wema Sepetu na mwisho kabisa ni Wema Sepetu Application ambayo ameianzisha hata wiki haijaisha.

Pamoja na watu wengi kuona mambo yanamnyookea star huyo, Wema Sepetu amekua na mawazo yakimsumbua sana kichwani. Kwani siku za karibuni amekua akiota kua siku yake ya kufa imekaribia. Mara nyingi ameota kua kafa na kazikwa.

Tumebahatika kupata video Exclusive ya Wema Sepetu akielezea ndoto hizo. Unaweza mskiliza hapa chini......
 
Kwanini unataka tumuangalie mtu anayekera katika kipindi hiki cha mfungo?.. lengo lako nini hasa??. Kuharibu swaumu zetu kwa kero zake au??..hebu kuwa muungwana ndugu
 
Hivi,kuna tofauti gani kati ya kitengeneza mwanasiasa mwenye jina kubwa na chama cha siasa chenye jina kubwa!
Maana naona tunao wanasiasa wenye majina makubwa kuliko vyama vyao na vyama vyenye majina makubwa kuliko wanasiasa wao!
Mods nawaomba muihamishe hii comment yangu iende jukwaa husika,maana nimechoka na swaumu ni kali kwahiyo sioni vizuri.
YNWA
 
Kila nafsi itaonja umauti hatokuwa wakwanza wala wa mwisho kufa so ajitahid kufanya ibada na atubu
 
Yaani nimemsikilia like daaaaah!! Haya bwana naona nitangulize R I.P WEMA ili endapo TCRA watanikwida, salamu zangu ziwe zimeshamfikia.
 
boredom is a bad thing...nimejipata hapa...time to go back to work...things pple do to stay relevant...aint mad at you...
 
Mleta mada usiwe me mpuuzi...
Unasema Wema amefungua miradi mingi kwa kutumia jina lake... Miradi ipi??
Kuuza ndala!!?? Kuuza vichora mdomo!!?? Can u refer that as a project or business ya kueleweka???
Stand firm.. Usikubali kutumika ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom