YetuMacho
Member
- May 31, 2016
- 16
- 17
Siku za karibuni kumekua na picha nyingi zmesambaa zikimwonyesha Wema Sepetu akiwa na umbo ambalo watu wengi hawakulielewa na wengi walikimbilia kusema kua Wema anatumia dawa za mchina kungeza makalio. Team Wema wengi walijitokeza na kumtetea Wema kua zile picha zilikua Edited huku wengine wakimlaumu Wema kwa hali aiyofikia.
Waswahili wanasema mtoto kwa mama hakua na ara tu baada ya mama Wema kuzisikia habari hizo aliamua kuvunja ukimya na kuwachamba wale wote wanaomsema vibaya mwanae kua katumia mchina. Unaweza tazama video hii hapa chini kumskia mama Wema akiongea kwa uchungu.