Kwa mtoko mmoja, Wema Sepetu anavaa vitu vyenye gharama ya zaidi ya milioni mbili

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za gharama.

Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu sana ila kwa star kama Wema Sepetu ni jambo la kawaida sana. Akihojiwa katika EFM Radio Wema Sepetu alifunguka kua kwa kila siku anayotoka vitu anavyovaa gharama yake ni kama milioni 2 za kitanzania. Hebu mskie kwenye video hii hapa chini..
 
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
 
Backpack yangu moja tu ya MCM inazidi milioni mbili.

USA baby....

IMG-20160607-WA0021.jpeg
 
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Unaishi wapi mkuu?
 
wakora waituuu!!!!

khaaaaa wewe kaka hapana
sio kwa kujikweza huko...
hebu picha za mkeo tumuonee na hivo vito vya dola 2000
 
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Hiyo ni hela ndogo sana tena sana, lakini wakati huo una "Jumba lako" usafiri wa maana na vitega uchumi. Lakini sio umevaa 2m wakati unapanga huna gari wala kiduka cha kukuingizia pesa kazi kubadili wanaume tu na utegemee kuhongwa kisha unatuletea habari ya pesa uliyojivesha si uchizi huo.
 
Kwa raha zake!
Watu mnamtaka ajenge jumba......kwa hizo mil 2 anazovaa au??!!
Kila mtu na kipaumbele chake.
 
Kusema ukweli hiyo pochi hata mimi ninayo nilinunua 45 kwa mdada wa Dubai. So laki mbili na nusu ni uongo mtupu.
 
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.

"Nyakanazi" profile name speaks, kutoka zile pande za "mshomire mpaka last class". sishangai haya maneno yako, ni kawaida character kutoka pande hizi kujikweza hata kama uwezo wake ni sifuri
 
Back
Top Bottom