Video : Jionee wizi mpya wa Mpesa na Tigo pesa, jamaa kaibiwa 723,000

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya utapeli ambao wahathirika wakubwa ni watu wanaotoa huduma za Mpesa na Tigo Pesa.

Kama utakavyoona katika video hii ni ngumu sana kugundua kama umeshatapeliwa mpaka baada ya mdaya mda upite. Kwa mfano huyu jamaa aliyetapeliwa hapa kaibiwa 723,000 na matapeli hao. Hebu tazama video hii na wewe usije ukaibiwa kama huyu.

""​
 
Eeeh bwana duuuh!
Hata hivyo dogo alikubalije kumtumia mtu pesa bila kuzihakiki?
Kwa style hiyo ya utapeli mimi hawajanishika bado.
 
Back
Top Bottom