Recent content by yerewii

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda HESLB

    Haya ndo majibu ya watumishi loan board hata sishangai Hata last week loan officer alikua hapo kwenu na majibu anayoleta ni ya kupuuzi kama hili ULILOTOA I'm not sure kama elimu yako imekusaidia kama hata communication skills hamjui Utoto mwingi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda HESLB

    Barua tulizoandika ninakopi zake Yaani zinaweza jaaa ndoo kubwa ya maji Kwa kweli mambo mnayoyafanya sio sahii Majibu yenu yanakwaza n.a. inahitaji uvumilivu wa hali ya juuu kuondoka pale hujakasirika . . Mifano kuna dada mmoja alikua Ana Mimba mwaka jana kipindi nafuatilia alikua...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda HESLB

    Well Barua kutoka kwa Loan officers wote wale wa chuo cha zamani na chuo kipya tulishawaletea hapo kwenu n by the way tulikuja mkatuambia mara pesa hazijarudishwa kutoka chuo cha kwanza Mara cjui nini tukawaulizeni sasa utaratibu wa kufuatilia ukoje mkajibu tunawatumiaga sms au kuwapigia...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda HESLB

    Wewe TE="Bacary Superior, post: 20952735, member: 233420"]NAKUJIBU MIMI HAPA MAJINA YA TRANSFERS YOTE YAMELIPWA PESA MWEZI WA TATU NA MKOPO WAO UMEINGIA VIZURI TU. kabla sijaendelea ngoja nikuulize we boom la kwanza ulisainia wapi? Wewe just be polite Mimi ni second year now Nilihama chuo last...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda HESLB

    Habari zenu wapendwa ? Ni miezi 6 sasa tangu nilipofanya transfer ya chuo mwaka ulioisha Nilikua napata mkopo kama kawaida lakini tangu nimehama mpaka sasa sijasaini hata shilingi tano . Tumekua tukifuatili suala hili loan board kwa muda wote Huu lakini cha kushangaza kila siku tunapigwa...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Natamani nikujibu ila basi tu
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ray Kigosi awatolea povu watanzania, kisa unafiki wao

    Sijawahi ona mtu mnafiki kama Ray Yeye mwenyewe alikua anapinga maendeleo ya kanumba afu hapa anajifanya kuona uzuri wa kanumba Afie mbali huko kwanza kuigiza kwenyewe hajui Movie zake ni makelele tuuuuu Stupid!!!!
  8. Y

    JamiiForums Tanzania TVE Hivi wana tatizo na WCB.

    Si uyafute wewe
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ngaiza asante kwa kuandaa vitabu

    Inategemeana na ni topic gani ila nadhani huwa vinaletwa shuleni hukohuko mwaka mpya wa masomo unapoanza au unaeza kutoa copy kwa wenzio
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ada kuongezeka kwa wanafunzi wanaosoma shule za Alliance zilizopo Mwanza pamoja na kunyimwa likizo

    Mwamishe umpeleke shule ya KATA WENGINE tumeridhia kabisa hata ingekua laki 5 Msitusumbue
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuanzisha na kusajili kanisa Tanzania

    I love this
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane kutengeneza pesa online: adsense, revenuehits, propellerads

    Unaweza ku ni PM namba yako?
Back
Top Bottom