NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,025
- 688
Mimi ni shabiki WA wcb Mkubwa ila yule mlezi anaharibu taswira ya wcb kwa kweli
huu nao ni ujinga mkumbwa kuanza kuwagombanisha wasanii na vituo vya radio kwa manufaa yenu.... Nyimbo kutokuwepo top 30 ndio ugomvi? hivi ni nyimbo ya kila msanii hapa Tanzania ipo kwenye hiyo top 30.Nimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays
Kituo hiki kina top 30 kila siku kuanzia 20:00 mpaka 23:00 lakini ndani yake hakuna nyimbo za hawa jamaa
Si uyafute weweHayo mamistari yanakera!
Hivi hao tv e wanapigana na nani? hivi mnafikri hiyo tv mnaangalia peke yenu? mbona nyimbo za Diamond wanapiga na hao wcb?Hao jamaa wa efm na etv mwanzoni niliona ni watu wa maana ila kumbe ni wapumbavu sana. Wanapenda makundi vita zisizo na kichwa wala miguu watawekeza sana ila hawatatoboa.
hili ndilo swali la msingi sana...Mi pamoja naangalia mara moja moja huwa nazikuta nyimbo zao zinapigwa...Kwani unaiangalia 24/7?
Mara chache sana.....afu kuna kitu nakiona ukitoa clouds fm, station kubwa kama ea radio and TV na efm ETV zinacheza nyimbo za diamond na wcb kwa ujumla kwa machale sana yaani unaweza kukuta kwa siku ngoma za wcb zinachezwa kama mbili tu au moja.....hizi ni mojawapo za media zinazopigana kufa na kupona kuushusha ukubwa wa diamond na wcb kwa ujumla.....hili ndilo swali la msingi sana...Mi pamoja naangalia mara moja moja huwa nazikuta nyimbo zao zinapigwa...
hata hujathibitisha ushatukana....we mwenyewe umesema "kumbe"Hao jamaa wa efm na etv mwanzoni niliona ni watu wa maana ila kumbe ni wapumbavu sana. Wanapenda makundi vita zisizo na kichwa wala miguu watawekeza sana ila hawatatoboa.
Hivi hii nchi ina wasanii wangapi mpaka iwe lazima nyimbo za hao watatu kila leo zipiogwe? kumbe na wewe umeona zinapigwa mimi nilifikiri na wewe utasema hazipigwi...Mara chache sana.....afu kuna kitu nakiona ukitoa clouds fm, station kubwa kama ea radio and TV na efm ETV zinacheza nyimbo za diamond na wcb kwa ujumla kwa machale sana yaani unaweza kukuta kwa siku ngoma za wcb zinachezwa kama mbili tu au moja.....hizi ni mojawapo za media zinazopigana kufa na kupona kuushusha ukubwa wa diamond na wcb kwa ujumla.....
Tz tuna Roho mbaya mnoooHuyo majizo muuza ngada wala hata hajielewi, zaidi ya kuvmia gharama kubwa kuweka mitambo na kutumia gharama kubwa kujipromote lakini hawana kipya wala ubunifu wowote wa kutoa - wamebakiza majungu, umbeya na udaku tu
Mnafiki na mchonganishi mkubwa leo tu nimeona wcb mara mbili au unataka kipindi kizima? Fungua yako uwarushe 24/7 nyambafu who is wcb?, Wee mkubwa fela nini mnajiona wafalme wa Bongo flava? Kampangie mkeo sio biashara za watuNimepata muda wa kuangalia TVE Kituo cha Television kinachomilikiwa na Majizzo kwa muda sasa lakini hawapigi kabisa video (Nyimbo za WCB) Je kuna nini nyuma ya holidays
Kituo hiki kina top 30 kila siku kuanzia 20:00 mpaka 23:00 lakini ndani yake hakuna nyimbo za hawa jamaa
Hakuna mwenye roho mbaya ila ushabiki, unyumbu na mihemko ndo vinamaliza mazuzuTz tuna Roho mbaya mnooo