Ray Kigosi awatolea povu watanzania, kisa unafiki wao

Wengine hata hao Kanumba na Diamond tunaona bado sana. Kwa hiyo mifano yako moot.
 
Sijawahi ona mtu mnafiki kama Ray
Yeye mwenyewe alikua anapinga maendeleo ya kanumba afu hapa anajifanya kuona uzuri wa kanumba
Afie mbali huko kwanza kuigiza kwenyewe hajui
Movie zake ni makelele tuuuuu
Stupid!!!!
 
Kwanza kiukweli tunaoponda hizi bongo movie hatukuwa wapenzi wa bongo movie toka mwanzo,na ndiyo maana tunamsifia Kanumba labda kwa vile amekufa ila bila unafki hakuna cha tofauti ambacho alifanya Kanumba ambacho hivi sasa hakipo.
 
Uyo anatapata tu kwasababu maneno ya watu sio msaafu tuseme ndo sababu ya mtu kushindwa kufanya kazi zake.Ayo huwa ni maneno tu na yanasemwa na watu wachache sana kati ya wengi wanaofwatilia kazi za wasanii.Kwaiyo asiamishe goli.ata ivyo tutamini kweli kanumba ndo alikua anawabeba kwasababu toka ameondoka kazi yao nikujipodoa tu.
 
VILAZA NYIE BONGO MOVIE MNAJUA BEI YA PERFUME NA MAFUTA YJ NYWELE TU
 
Inawezekana kweli mi sifatilii bongo muvi ila kwanini kanumba tu wakati washakufa wasanii wengi
 
Huhitaji kumfahamu ni nani bali ujumbe wa kweli umefika japo simfahamu na siangalii movie zake lakini alichokisema ni cha kweli. Mimi nitaenda mbali hata Lowasa tulimuita FISADI lakini baadhi yetu wanamuona LOWASA yuleyule ambaye hajafanya lolote lile la kujisafisha na huo uliosemwa UFISADI leo tunasema ni rais wa mioyo....Na hata Magufuli tunayemsema hajui kiingereza akimaliza muda wake tutamshangilia pia hapo ndipo ubaya wa TAIFA lilojaa wanafiki kila kona utakapoliona...........
Umesahau kabla magufuli hata hajawaza hata kugombea uraisi watu walishasema Tanzania tunahitaji raisi dikteta magufuli ndo type anayefaa amekuja tayari tudhasahau maombi yetu
 
Umesahau kabla magufuli hata hajawaza hata kugombea uraisi watu walishasema Tanzania tunahitaji raisi dikteta magufuli ndo type anayefaa amekuja tayari tudhasahau maombi yetu
Umenikumbusha wengine walisema pia kuwa Magufuli alikua anaitumia ilani yao ya uchaguzi
 
Movie ya mwisho kuona ya Ray ni ray anampenda mtu tajiri anajidai yy masikini kumbe ni tajiri
 
Kuwaridhisha watanzania nia sawa na kujaribu kuitakatisha kaniki iwe nyeupe. Watanzania ni watu waliojaa chuki, wivu, majungu, unafiki na fitina. Hasa vijana
 
Mimi simkubali ila ameongea ukweli sema anatapatapa kwakuwa anasemwa vibaya yaan ray ni complete hawez kuleta mapinduzi japo jina kubwa asijiweke group ya kanumba na diamond wale ni namba myingine kabisaa bora Jb akaongea ray hakuna kitu na kalikiti zake ..kazi kuoverwear tu kila filamu kelele kelele
 
Back
Top Bottom