Ndugu wananchi wenzangu mliopo mwanza au nje ya mwanza mnaosomesha watoto wenu katika shule ya alliance iliopo maeneo ya mahina mkoani mwanza.Kumekuwepo na mtindo wa shule hii kunyima wanafunzi likizo kwa kusingizia wanawasomesha tuition na kudai ela za tuition ambazo zinaanzia laki mbili hadi 220000 kwa wanafunzi wenye mitihani ya NECTA.
Na baadhi ya wanafunzi ukiwauliza wanasema wameisha maliza syllabus sasa tunashinda kuelewa kuwa wanataka hela za wazazi kwa lazima au wanataka kutoa elimu ambayo inakuwa inawalazimisha watoto wadogo kutoishi nao kwa muda mrefu.
Wazazi wenzangu tusimamia kujua tabia za watoto na kuishi nao ili kujua yanayotendeka kipindi watoto wetu hawapo tusijelaumu baadae na huu usawa na uchumi na kwa izo sheria za kulazimisha tuition sio sahihi kabisa