Ngaiza asante kwa kuandaa vitabu

boblyy sams

Member
Jul 1, 2015
26
32
Habarini za muda huu wakuu,,
Naomba kuchukua fursa hii adhimu kabisa kumshukuru SIR. NGAIZA kwa kufanya revolution kubwa sana ambayo ni msaada mkubwa kabisa katika kujifunza somo la advance chemistry nchini.

Series ya vitabu vya chemistry ulivyoviandika sir vinasaidia sana katika kujifunza chemistry kwani vinaendana na wakati na vimegusa corner zote ambazo wanafunzi inabidi tujifunze,, havimfanyi mwanafunzi akariri bali aelewe kile akisomacho hicho ndo ambacho nakusifu sana.

Kwa ambaye bado hujafaidika na neema hii ya chemistry embu get your copy then ulete mrejesho, au uattend hata lectures zake za tuition then ulete mrejesho.

Chemistry books zipo nyingi sana na kila kitabu kina topic ambayo ipo nondo na nyingine ipo shallow so ili uwe competent inabidi usome vitabu vingi but through this ngaizabook series everything is contained,, dah shukrani sana

Hebu get your copy
1. General chemistry
2. physical chemistry
3. organic chemistry
4. inorganic chemistry
5. soil and environmental chemistry

YOU WON'T REGRET MKUU
 
Inategemeana na ni topic gani ila nadhani huwa vinaletwa shuleni hukohuko mwaka mpya wa masomo unapoanza au unaeza kutoa copy kwa wenzio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom