Tuelimishane kutengeneza pesa online: adsense, revenuehits, propellerads

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Binafsi sio mtaalam wa hayo mambo ila nasikia ni biashara ya mtandaoni inayolipa, mwenye ujuzi kidogo kuhusu nàmna ha kutengeneza pesa kwa adsense, revenuehits, propeller ads tunaomba atuelimishe ili tuweze kunufaika kiuchumi na haya mambo ya internet.

kwa wataopenda kujiunga group la whatsapp ni p.m
 
binafsi sio mtaalam wa hayo mambo ila nasikia ni biashara ya mtandaoni inayolipa, mwenye ujuzi kidogo kuhusu nàmna ha kutengeneza pesa kwa adsense, revenuehits, propeller ada tunaomba atutadadavulie
uza maandazi mkuu wengi wanakuja kulia hapa wameliwa pesa............
 
toa mawazo positive usilete mawazo negative, sio lazima kuchangia mada
sasa wewe kwanini uwe mkali ndugu umeandika mada kubali kuambiwa si lazima niseme unachokitaka wewe...... na wewe kama hutaki michango ya watu usilete uzi wako hapa alaa jadiliana chumbani na mumeo ama mkeo

nonesense
 
hivi nmekuwa mkali wapi.....anyway tunaomba uchangie kitu chochote unachojua kuhusu maada ukisema bora watu wauze maandaz toa strong facts za kubackup point yako
 
Good thing ni kwamba niliwah kutumia Revenue Hits, pamoja na Propelar Ads. Ntakacho kiongea hapa ni Uzoefu wangu wa mwaka Mmoja nikiwa natumia kampuni hizi kwenye Blog yangu.
Baada ya kutemwa na Google Adsence miaka miwili nyuma niliamua kutafuta njia mbadala wa google Adsence na ndipo nkakutana na makampunia haya mawili nilijiunga nayo na nilianza na Proper:

Propeller ads:
Ni miongoni mwa makumpuni yanayo toa huduma ya matangazo kwa Publishers(Bloggers) ikiwa ni njia mbadala ya Google Adsence ila kiukweli hakuna lolote katika hili. Wenyewe wanatoa matangazo yaliyoko katika mifumo tofauti tofauti ikiwa ni POP UP ADS, POP UNDER ADS, BANNERS ambazo ni za Size 728x90,300x250, 120x600, na 300x600 na zaidi ya yote malipo yao hutegema na Mfumo wa matangazo ulio chagua kuutumia mfano Pop under ama Pop up ama BannerS na yote ni CPC-COST PER CLICK yaan utalipwa kutokana na Click ulizopata kutokana na lile tangazo, CPM-COST PER MILE- namba kubwa ya traffic uliyo nayo ndio hutumika hapa.

Mazuri yake:
1. Ni rahisi kujiunga na hakuna Kusubiri Review
2. Wana Affiliating Program- yaan ukiweza kuwaletea wateja kwa link yako utapata cha juu
3. Ni rahisi kutumia Dash-bord yao

Mapungufu yao:
1.Matangazo hayavutii na hayaendani na dhima ya blog yako

2.Malipo ni sawa na sifuri: unaweza ukapata 0.2$ kwa mwaka mzima
Wamekua wakidai kwamba POP UNDER ADS hulipa zaid ila kama wewe ni Proffesional Blogger hutokubali kutumia pop under Ads wala Pop Up ads ili kukamilisha ile dhana ya User Experience katika Blog yako(I HATE POP UP and POP UP ads).
CPC kwao ni 0.001$ sasa jiulize mpaka ufike hata 1$ ni lini??? na ili ufanye Kuomba kulipwa fedha zako unatakiwa uwe umefikisha kiasi cha 10-50$

3.Poor Customer care, niliwahi kupata tatizo nkafanya Contact nao ila mpaka leo sikujibiwa.
4.Matangazo yao yana Ulaghai(scam)

Revenue Hits:
Nao ni sawa na Propeller ila tofauti yao ni moja Tuu. na sii nyinge upande wa Malipo ambapo wao wanaanzia 0.01$
Pia wao wana Affiliating Program

Ushauri wangu kwa Bloggers wenzangu
Ili ufanikiwe katika Blogging, TRAFFIC ni jambo la MUHIMU sana. Bloggers wengi wanafungua Blog leo wanataka kumake money kitu ambacho sii sawa, Kuza kwanza Blog yako then Money zitakuja badae. Na sio lazima kuwekeza katika Adsence maana kuna njia nyingi za Kuingiza kipato kupitia Blog yako mfano-Affiliating programs(Hapa nazungumzia Amazon, Ebay nk), Kuuza bidhaa zako mwenyewe mfano E-BOOK na vitu viingi.

Ni hayo tuu japo kwa Ufupi Mkuu.
 
YouTube monetization ni Raisi Bro kama ukiwa na Clear strategies maana nako Huko Traffic/Viewers ni JAMBO KUBWA
Strategies ni kama zipi ?

Youtube wana monetization, ila wqna sheria kali kuhusu video za kuupload na mara nyingi inashauriwa uweke video zako ulizotengeneza wewe
Hivyo hivyo kuna watu wameni inspire huko wana subscribers hadi million 10 cha msingi in kuchagua kudeal na topic moja

YouTube monetization ni Raisi Bro kama ukiwa na Clear strategies maana nako Huko Traffic/Viewers ni JAMBO KUBWA

Youtube wana monetization, ila wqna sheria kali kuhusu video za kuupload na mara nyingi inashauriwa uweke video zako ulizotengeneza wewe
 
propeller na revenue magumashi tu nimetumia miez 4 lakin kuset nimelipa mpk jamaa lak na hamsin hakuna kitu naishia dola za mbuz na ni traffic ya nje
 
Duh! Kiasi kikubwa cha hela only for Propellre and Revenue Hits??? yaani ratio ya 0.001$ kwa 1.5k Tsh haviendan Bro!
 
mim miez yote nimetoa ila dola za mbuz kawaida sana ila wew miez ujafikisha dola moja ttz lipo
 
propeller na revenue magumashi tu nimetumia miez 4 lakin kuset nimelipa mpk jamaa lak na hamsin hakuna kitu naishia dola za mbuz na ni traffic ya nje
Jamaa aliyekupiga 150,000 kwa ajili ya settings za matangazo amekutapeli, settings hata kama sio mtaalum unafanya mwenyewe.. propellar huwa natoa mpaka dollar 1,200$ kwa mwezi, ila u-kicompare na revenuehits, revenuehits ni nyepesi zaidi na nguvu kubwa nimeihamishia huko
 
Good thing ni kwamba niliwah kutumia Revenue Hits, pamoja na Propelar Ads. Ntakacho kiongea hapa ni Uzoefu wangu wa mwaka Mmoja nikiwa natumia kampuni hizi kwenye Blog yangu.
Baada ya kutemwa na Google Adsence miaka miwili nyuma niliamua kutafuta njia mbadala wa google Adsence na ndipo nkakutana na makampunia haya mawili nilijiunga nayo na nilianza na Proper:

Propeller ads:
Ni miongoni mwa makumpuni yanayo toa huduma ya matangazo kwa Publishers(Bloggers) ikiwa ni njia mbadala ya Google Adsence ila kiukweli hakuna lolote katika hili. Wenyewe wanatoa matangazo yaliyoko katika mifumo tofauti tofauti ikiwa ni POP UP ADS, POP UNDER ADS, BANNERS ambazo ni za Size 728x90,300x250, 120x600, na 300x600 na zaidi ya yote malipo yao hutegema na Mfumo wa matangazo ulio chagua kuutumia mfano Pop under ama Pop up ama BannerS na yote ni CPC-COST PER CLICK yaan utalipwa kutokana na Click ulizopata kutokana na lile tangazo, CPM-COST PER MILE- namba kubwa ya traffic uliyo nayo ndio hutumika hapa.

Mazuri yake:
1. Ni rahisi kujiunga na hakuna Kusubiri Review
2. Wana Affiliating Program- yaan ukiweza kuwaletea wateja kwa link yako utapata cha juu
3. Ni rahisi kutumia Dash-bord yao

Mapungufu yao:
1.Matangazo hayavutii na hayaendani na dhima ya blog yako

2.Malipo ni sawa na sifuri: unaweza ukapata 0.2$ kwa mwaka mzima
Wamekua wakidai kwamba POP UNDER ADS hulipa zaid ila kama wewe ni Proffesional Blogger hutokubali kutumia pop under Ads wala Pop Up ads ili kukamilisha ile dhana ya User Experience katika Blog yako(I HATE POP UP and POP UP ads).
CPC kwao ni 0.001$ sasa jiulize mpaka ufike hata 1$ ni lini??? na ili ufanye Kuomba kulipwa fedha zako unatakiwa uwe umefikisha kiasi cha 10-50$

3.Poor Customer care, niliwahi kupata tatizo nkafanya Contact nao ila mpaka leo sikujibiwa.
4.Matangazo yao yana Ulaghai(scam)

Revenue Hits:
Nao ni sawa na Propeller ila tofauti yao ni moja Tuu. na sii nyinge upande wa Malipo ambapo wao wanaanzia 0.01$
Pia wao wana Affiliating Program

Ushauri wangu kwa Bloggers wenzangu
Ili ufanikiwe katika Blogging, TRAFFIC ni jambo la MUHIMU sana. Bloggers wengi wanafungua Blog leo wanataka kumake money kitu ambacho sii sawa, Kuza kwanza Blog yako then Money zitakuja badae. Na sio lazima kuwekeza katika Adsence maana kuna njia nyingi za Kuingiza kipato kupitia Blog yako mfano-Affiliating programs(Hapa nazungumzia Amazon, Ebay nk), Kuuza bidhaa zako mwenyewe mfano E-BOOK na vitu viingi.

Ni hayo tuu japo kwa Ufupi Mkuu.
MAELEZO YAKO NI MAZURI ILA YANA MAPUNGUFU MENGI..
MKUU KWA USHAURI NAPENDA KUKUPA USIPENDE KUFANYA KITU KAMA HAUKIFAHAMU KWA KINA UTAISHIA KUPATA HASARA na kupoteza muda.. MPAKA HIZI AD NETWORK UWEZE KUZIPATIA INABIDI uzisome kwa kina, na ukubali kupoteza muda mwingi kufuatilia jinsi zinavyofanya kazi pia umtafute mtu PERSONAL AKUFUNDISHE PRACTICALLY NA UKUBALI KUWEKEZA MUDA MWINGI KWA KUJIFUNZA KWA WATU MBALIMBALI... UKIWA NA TRAFIC NZURI CPM INACHEZA MPAKA 15 Tatizo unakuta mtu amefungua blog leo anataka aanze kuona mafanikio siku hiyo hiyo hilo jambo halipo milele labda kwa google adsense at le, NA Hizo dollar 50 nikitulia ndio huwa nazipata kwa siku moja.. Angalia hii hapa chini ni report ya jana nimeingiza dollar 12.17$ kwa impressisions chache sana, na hapo nilishare kwenye groups manne tuu za nje + organic traffic

jana.PNG
 
Jamaa aliyekupiga 150,000 kwa ajili ya settings za matangazo amekutapeli, settings hata kama sio mtaalum unafanya mwenyewe.. propellar huwa natoa mpaka dollar 1,200$ kwa mwezi, ila u-kicompare na revenuehits, revenuehits ni nyepesi zaidi na nguvu kubwa nimeihamishia huko
mkuu naomb nipm namba yako
 
Unaweza ku ni PM namba yako?
MAELEZO YAKO NI MAZURI ILA YANA MAPUNGUFU MENGI..
MKUU KWA USHAURI NAPENDA KUKUPA USIPENDE KUFANYA KITU KAMA HAUKIFAHAMU KWA KINA UTAISHIA KUPATA HASARA na kupoteza muda.. MPAKA HIZI AD NETWORK UWEZE KUZIPATIA INABIDI uzisome kwa kina, na ukubali kupoteza muda mwingi kufuatilia jinsi zinavyofanya kazi pia umtafute mtu PERSONAL AKUFUNDISHE PRACTICALLY NA UKUBALI KUWEKEZA MUDA MWINGI KWA KUJIFUNZA KWA WATU MBALIMBALI... UKIWA NA TRAFIC NZURI CPM INACHEZA MPAKA 15 Tatizo unakuta mtu amefungua blog leo anataka aanze kuona mafanikio siku hiyo hiyo hilo jambo halipo milele labda kwa google adsense at le, NA Hizo dollar 50 nikitulia ndio huwa nazipata kwa siku moja.. Angalia hii hapa chini ni report ya jana nimeingiza dollar 12.17$ kwa impressisions chache sana, na hapo nilishare kwenye groups manne tuu za nje + organic traffic

View attachment 435177
 
Mkuu kumbuka kwamba sijataja Kiasi nilicho pata kutoka Proppeler ila nmeeleza namna mambo yalivyo huko. Kwa mara ya kwanza nilipata Kiasi kikubwa tuu zaidi ya hicho ila kwa kua nilitumia nguvu nyingi kupata hicho nikaachana nao.
 
Back
Top Bottom