Recent content by Yapaswe

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Education, naweza kusoma Postgraduate ya Kilimo

    Kivipi mkuu hiyo mara nyingine? Unamaanisha Kilimo hakilipi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Naona mwingine kapiga sarakasi huko huko juu ya kifusi
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha kilimo

    Nimeipenda sana hii kitu nipo maeneo ya area five mda wa Kilimo haswaa tena bwana shamba wa kujitegemea
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

    Huko katoliki Yesu hayupo? Ivi kwanini huwa mnapenda kuanza kuwahubiri watu wanaomjua Mungu tayari na badala yake mnashindwa kuwafuata vijana na wazee huko mitaani hawamjui hata Yesu?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

    Nina mashaka na kabila lako.hiyo alama ya kuuliza ulivyiishia vizuri kweli kweli
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua nyumba za makazi ya Polisi Arusha 07/04/2018

    Ni men party wewe!
  7. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Yani umenichanganya changanya mpaka sijaelewa
  8. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ngono ni hitaji muhimu (basic need) au tunajiendekeza tu?

    Watu wanagongana tena maofisini baada ya kumaliza ndo wanajua wapo ofisini kumbe! Cheza na vingine siyo nyege akili huwa inarudi mbinguni kwa mhusika mda huo
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kupanda Bombardier?

    Dar Lux zikipigwa marufuku nitapanda bombardier
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa macho ni mwepesi sana

    Mkuu niliku PM tayari
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi sio ndoto za kawaida

    Mkuu mda mwingine naota kama nafukuzwa lakini mara nyingi huwa natesaka sana siwezi kufumbua macho najikuta nahangaika tu hiyo hupelekea nikiamka asubuhi nipo hoi na tumbo linakuwa linaumwa kama nimevimbiwa flani
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Hizi sio ndoto za kawaida

    Mkuu ndoto zangu mara nyingi ni kuota mtu amekufa,mda mwingine kweli siku hiyo nitasikia amekufa,mara nyingi naota naongea na watu waliotutangulia mbele ya haki, mara nakimbizwa na mengine ya ajabu mengi,kwakweli huwa nakosa mpaka amani moyoni kuhusu hizi donto nashindwa kuziepuka!
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Maisha ni safari..tazama picha hii utakayemuona wa kwanza andika jina lake

    Mkuu unamaanisha Yuda kipindi cha pasaka au
Back
Top Bottom