Kikundi cha kilimo

Kikundi cha kilimo

My dia ni kilimo cha matunda (kama matikiti,nanasi.pasion nk)na mboga mboga... (Kama nyanya,hoho,vitunguu,pilipili )&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];. operation cost Mimi wakati nalima nlitumia Kama m2 manake nlikuwa natumia drip system!so gharama za mafuta zilikuwa kubwa!ila sahiv nimeshajifunza na nimeona furrow ni nzuri zaid na haina gharama Sana! so operation cost itapungua Sana..

ukiwa na m1 unalima kwa furrow eka moja!hapo nimeweka gharama za mbegu,mbolea,madawa.... ila Kutakuwa na kulipa vibarua na kukodisha shamba!(nikifika kwa job nitakaa niainishe hizi gharama vizuri then ntakuja na taarifa iloyokamilika)... preferred location ni maeneo ya kasanga,mlali na kilosa pia ni pazuri ila ni mbali na Moro mjin so usimamiaji utasumbua! asante kwa kuonyesha nia!
Ukitumia furrow unakua na magonjwa zaidi na magugu zaidi gharama ya dawa na ya kupalilia itarudi kule kule kwa m2
 
Nimeipenda sana hii kitu nipo maeneo ya area five mda wa Kilimo haswaa tena bwana shamba wa kujitegemea
 
Habari wana jamvi,

Nimevutiwa na maelezo ya mtoa mada nikaona sio mbaya nikachangia pia.

Me pia ni mkulima wa vitunguu, nyanya kwa kutumia greenhouse, hoho, ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na matikitiki. Nnachoweza kusema hii sekta ya kilimo ni nzuri sana na bado ina nafasi kubwa sana ya kubadili maisha ya watanzania wengi.

Kwa sasa namiliki kampuni mbili ambazo zimejikita kwenye masuala ya kilimo na dhumuni haswa likiwa kusaidia vijana wenzangu pia kufanikiwa katika kilimo.

Kampuni ya kwanza na kampuni mama inaitwa Lumuma Investment ambayo inahusika na mambo yote kuanzia Greenhouse farming, Drip Tape Irrigation, pia tunazo variety tofauti za mbegu aina ya Hybrid F1.

Kampuni ya pili na kampuni dada inaitwa Central Park Bees Ltd, ambayo inajihusisha na ufugaji wa nyuki na uuzaji wa vifaa vya kisasa vya kufugi nyuki. Tembelea tovuti yetu Central Park Bees uweze kujua zaidi faida za ufugaji wa nyuki kwani ni zaidi ya kupata asali. Kuna products nying utaweza kupata kutokana na nyuki ambazo dhamani hake ni kama Gold.

Napenda kuwahakikishia kuwa kilimo kinalipa, kwani binafsi toka nimemaliza chuo sijawahi kuomba ajira sehemu na nimekua na maisha ya furaha kutokana na kilimo.

Tunapatikana Makole, tukitazamana na msikiti wa Makole Dodoma mjini.

Wasiliana nami kwa simu namba: 0655003510 / 0689658811
Email: josephkadendula@centralparkbees.co.tz

Ahsanteni sana.
Bro naitaji kujifunza kupanda na kuhudumia zao la tikiti maji nipo dar vp utanisaidiaje
 
Nimekupata kaka mwananchi....nadhani turahisishe hili zoezi kwa kufanya hivi...wale ambao wako tayari kuhusu swala hili naombeni mtupie namba zenu hapa then mi ntacreate group watsapp and add you all ili tuanze mchakato rasmi Wa nini kinaanza nini kinafuata!pamoja guys

0712995868
 
Big step ahead
Naomba uniunge kwenye group lako tafadhali
+254743970306..
 
0719 551 375 niadd tafadhali siwezi acha hii fursa inipite kwakwel..
Nna mengi nahitaji kujifunza kwenye kilimo nje ya madarasa.
 
0744386490

Habari wapendwa....

Mimi nipo morogoro, ni Dada mwenye uchungu sana na maisha na nahitaji maendeleo kwa njia yoyote iliyo halali! na moja ya njia hizo ni kilimo! nimeshawahi kujishughulisha Sana na kilimo cha umwagiliaji kwa zao la nyanya, hoho na matikiti... kwakweli ingawa haikunilipa Sana lakin niliweza kurudisha gharama za uzalishaji na kupata faida kidogo!

ila kwa mwaka 2014 wote sikuweza kurudi shambani kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyonifanya kutumia mtaji wote!sasa nahitaji kurudi shamban mwaka huu lakin nimeona changamoto kubwa kwenye kilimo ni ufuatiliaji!

Mimi kwa nature ya kazi yangu ni mtu Wa kusafiri safiri! hivyo nimefikiria nikipata watu amabo wako interested na kilimo Kama Mimi tuanzishe kikundi cha kilimo nadhani itakuwa poa Sana na pia tunaweza kufaidika na opportunity zilizopo kwenye halmashauri Kama hela za vijana wenye miradi mbalimbali hasa hii miradi ya kilimo!

Kama upo morogoro na kweli hili wazo limekugusa tiririka hapa chini tuone tunaanzia wapi..... wazo langu ni kuja kuwa na kampuni inayozalisha, inayouza na kununua mazao... please naomba wenye nia ya kweli waje hapa tukamate hii fursa!.. kikundi kiwe na watu 3 hadi Wa 5 ili tuweze kumanage vizuri..

wote tunajua panya wengi hawachimbi shimo!

Asanten.
 
Enimefuatilia mwanzo mwisho nimevutiwa sana nahitaji kujoin ,naomba kujua mmefikia wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom