Recent content by Yakuonea

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenziyo unanikosha!

    Choveki salama.......
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Forbes Yatoa orodha ya matajiri wapya Aliko Dangote na Mo Dewji miongoni mwa watu matajiri zaidi barani Afrika 2022

    Na ndiye mmiliki wa Mamelodi Sundown, moja ya klabu kubwa kabisa south Africa baada ya kaiser chiefs na Orlando pirates
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

    Hii soda imenikumbusha mbali Sana, Miaka ya 80 wakati huo nasoma Jumuiya sec, wakati wa mapumziko nilikuwa naenda barabara ya 8 kupata hii kitu......
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kigamboni Kisiwani bei poa

    Kwa mawazo yako jamii forum in forum ya watoto.....
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Samaki wa mapambo bei nafuu na elimu yake bure rahisi sana

    Inanikumbusha mbali zaidi miaka ya 1983 -85, kuna bwana mmoja alikuwa mitaa ya clock tower karibu na keys hotel, tulikuwa tukienda kununua samaki na alikuwa akitengeneza aquariums pia, alijijengea umaarufu Sana alikuwa na asili ya Kihindi 'kigoa'
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    Docebit vos omnia !!!!
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

    Inna Lilah wanna ilayh rajuun
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

    Hiyo ya break dance inanikumbusha sea view 'air India' , viwanja vya Gymkhana , magorofani Ohio, IPS Building na mitaa ya bunge in the 80' nawakumbuka kinda Nico scaba scuba, mpeni, chuche, Marlon, mzee Bachu, Abel siwale, Tom Nhigula, Joseph tungaraza, usungu 'Young Millionaire...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askari wetu hubeba silaha za kivita!!

    Hata mimi nimepatwa na wasiwasi , labda mleta maada anaweza kutusaidia, kwa mfano ni mkusanyiko au mkutano gani ambao ameona askari wamebeba LMG, LMG ni silaha kubwa Sana ya kivita, hata matumizi yake wakati mwingine huhitaji watu wawili kwa wakati mmoja kuweza...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Message from Juma Mwapachu

    Pedestrian politician. ....
  11. Y

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    Inna lilah wainna ilayh raj'uun
  12. Y

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Hili jibu uliolitoa nimejikuta nacheka, ....poleni wafiwa mwenyezi mungu awape wepesi katika kipindi hiki kigumu, sote njia yetu imoja yeye ametangulia hakika nasi tunjiani.....
  13. Y

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Brigedia Jen. Mstaafu Hashim Mbita, amefariki Dunia

    Nilikutana na marehemu Brigedia Hashim Mbita Botswana, Lesotho na Namibia kwa nyakati tofauti mwanzoni mwa mwaka 2000, katika umri wa uzee ambao tayari aliokuwa nao alionekana ni mtu makini sana, alikuwa anaongea kwa upole na unyenyekevu wa hali ya juu,pia alikuwa na uwezo mkubwa wa kuongea...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Picha: Bilionea Dangote akagua ufukwe atakaojenga bandari yake ya kisasa Mtwara

    Hizi comments nyingine basi hata kama ulikuwa hutaki kucheka utajikuta unacheka tu,....mdau ahsante kwa kunifanya nicheke
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Tibaijuka ni lazima ajiuzulu sasa au aondolewe na Mh. Rais

    Ziko wapi zile kanuni zilizokuwa zinasema 'RUSHWA NI ADUI WA HAKI SITAKUBALI KUTOA WaLA KUPOKEA RUSHWA' , wakati ule kiongozi wa umma ukihusishwa na rushwa au hongo basi wewe moja kwa moja hufai na ikithibitika mahakamani umepokea/ umedai rushwa basi adhabu yake ilikuwa ni kifungo na viboko...
Back
Top Bottom